Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TWAWEZA YAMUAGA RAKESH RAJAN JIJINI DAR LEO

Balozi wa Sweden nchini Tanzania,Mh. Lennarth Hjelmaker akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TWAWEZA YAMUAGA RAKESH RAJAN JIJINI DAR

Balozi wa Sweden nchini Tanzania,Mh. Lennarth Hjelmaker akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam. Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA YAMUAGA MWANDISHI KAMUKARA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii MAMIA wamejitokeza katika kuaga mwili wa aliyekuwa Mhariri wa Mawio na Mwanahalisi online  ,Edson Kamukara aliyefariki mwishoni wiki na anatarajiwa kuzikwa  Juni 29 mkoani Kagera. Wakizungumza wakati wa kuaga kwa aliyekuwa Mhariri wa Mawio na Mwanahalisi online  ,Edson Kamukara  wamesema ni pigo kwa tasnia ya habari kutokana na kuwa na kusimamia kitu anachoamini kwa kuzingatia maadili ya uandishi wa habari .
Akizungumza juu ya kifo chake ,Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Ujenzi yamuaga JK kwa kishindo Dar

jkaRais Jakaya Kikwete akihutubia wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi wakati wa hafla maalum ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja.

 Wahandisi mbali mbali wa Wizara na wasiokuwa wa Wizara walijumuika pamoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete

 Wageni waalikwa kutoka taasisina mashirika mbali mbali walishiriki kikamilifu.

 Rais Jakaya Kikwete akikabidhiwa ufunguo wa trekta lake alilopewa zawadi kwenye hafla ya...

 

11 years ago

Michuzi

Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) aagwa leo jijini dar

 Picha ya Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) ikiwa pembeni ya Jeneza lake mchana wa leo wakati wa kuagwa kwa mwili wake,kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya Wacheza filamu hapa nchini,wakiwa pembeni ya Jeneza la Mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel) aliefikwa na umauti hivi karibuni.   Bw. Saguda ambaye ndie alikuwa mchumba wa Marehemu akilia kwa uchungu huku akiliwazwa na nduguye.  Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steven Nyerere akilia kwa uchungu.  Sehemu ya...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MWANANA ZA JIJINI DAR LEO BAADA YA MVUA YA LEO


Baada ya mvua ya kubwa ya kama masaa mawili mfululizo,maeneo mengi jijini Dar yamejaa maji na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa jiji hili.Pichani ni eneo la Morogoro Road.
Barabara ya Bibi Titi Mohamed mambo yalikuwa namna hii,wenye magari madogo walipita kwa staili ya maji ya shingo.
Matolori ya kuuzia ice creame yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo.
Hapa ndio inakuwaga kimbebe,maana daladala ndio lishabuma tena.
Hakuna namna nyingine ya kuyakwepa...

 

10 years ago

Michuzi

Sheikh Ali Mzee Comorian azikwa leo kwenye Makaburi ya Wangazija,jijini Dar leo

NA CHALILA KIBUDA ,GLOBU YA JAMII DAR 
 Mamia ya watu wameshiriki katika mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian yaliyofanyika leo katika makaburi ya Wangazija yaliyopo katika barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam. 
Mazishi hayo yameongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili ,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kusema kifo cha sheikh huyo ni mipango ya mungu kwa kila mtu safari yake ipo. 
Alisema kifo cha sheikh kinatakiwa kuenziwa kwa mema aliyoyafanya katika uhai wake katika kupigania...

 

10 years ago

GPL

SHEIKH ALI MZEE COMORIAN AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA WANGAZIJA, JIJINI DAR LEO

 Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa tatu kushoto),Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim (wa nne kulia),Sheik Mkuu wa Tanzania,Shaaban Simba (wa pili kushoto) na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mussa Salum (wa tatu kulia) wakijumuika pamoja na Waombolezaji wengine kwenye ibada ya Mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian,katika makaburi ya Wangazija mtaa wa Bibi Titi Mohamed,jijini Dar es salaam mapema...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: CHOPA YAPIGA MWELEKA LEO NA KUUWA WATU WANNE JIJINI DAR LEO

Sehemu ya mabaki ya Helkopta aina ya Chopa iliyopiga mweleka mapema leo asubuhi maeneo ya Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam na kuua watu wanne waliokuwemo ndani ya Chopa hiyo hiyo wakiwa ni rubani pamoja na askari watatu.Chanzo cha Chopa hiyo kupiga mweleka bado hakijafahamika mpaka sasa.Sehemu ya Mashuhuda wakiangalia mabaki ya Chopa hiyo.Sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia ajali hiyo iliyotokea mapema leo eneo la Kipunguni B,jijini Dar es Salaam.Watu wanne wamepoteza maisha...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA AFYA DAR JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Afya (Annual Health Summit) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014. Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) wakimsikiliza Waziri Mkuu,Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba14, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

WAZIRI MKUU...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani