Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twiga imeiva, atamba kocha

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Rogasian Kaijage amesema kikosi chake kimeiva na anachosubiri ni mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya mwishoni mwa wiki ijayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Stars yarejea imeiva atamba Nadir

KIKOSI cha timu ya soka ya taifa, Taifa Stars kilitarajiwa kuwasili nchini alfajiri ya leo kikitokea Uturuki huku wachezaji wake wakitamba kuiva vya kutosha kuikabili Nigeria.

 

11 years ago

Michuzi

TWIGA STARS IKO VIZURI KUIVAA ZAMBIA- KOCHA

Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage amesema kikosi chake kiko tayari kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Zambia itakayochezwa keshokutwa (Ijumaa) jijini Lusaka.
Akizungumza kwenye hafla ya kuiaga timu hiyo iliyofanyika leo (Februari 12 mwaka huu) kwenye ofisi za TFF jijini Dar es Salaam, Kocha Kaijage amesema wachezaji wake wako vizuri, ingawa hakuwa tayari kutoa ahadi kuhusu matokeo.
“Vijana wako vizuri, lakini sitaki kutoa ahadi....

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Twiga Stars afurahia kiwango cha wachezaji wake

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mchezo wa kirafiki dhidi ya Kenya ‘Harambee Starlets’ umemsaidia kugundua makosa ambayo atayafanyia kazi.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Chadema imeiva kuingia Ikulu

Mgombea urais wa Chadema na kwa mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amekijengea mizizi imara chama chake na sasa kimeiva kuingia Ikulu Oktoba 25.

 

11 years ago

Mwananchi

UDA zinazokatiza safari dawa imeiva

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Vyombo vya Majini na Ardhini (Sumatra) imeliamuru Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) kuandika maeneo ya safari kwenye mabasi yake kutokana na madai ya kukatisha safari.

 

9 years ago

Global Publishers

Ile Albamu ya Big Sean sasa imeiva

PushaT_Nico_SKGZ_0006Pusha T

RAPA na Meneja wa lebel ya G.O.O.D Music, Pusha T amethibitisha kuwa album mpya ya Big Sean inaelekea kukamilika na itatolewa rasmi mwanzoni mwa mwaka 2016.

big-sean-discographyBig Sean

Big Sean alishika nafasi ya juu kwenye chati na albamu yake ya tatu ya Dark Sky Paradise mwaka huu.

Kwa upande wake Pusha T alisema anaprojekti ya kuitangaza albamu yake mpya ya King Push – Darkest Before Dawn iliyoshika namba 20 kwenye billboard katika wiki yake ya kwanza, projekti itayomalizika Aprili kwenye miji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Safari ya Wema Sepetu imeiva, ubunge viti maalum mkoa wa Singida

DSC00396

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, (kushoto) akipokea fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu wa UWT wilaya ya Ikungi, Yagi Kiaratu.

DSC00401

DSC00393

Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu alipokuwa akijiandaa kulipa ada ya uchukuzi wa fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida leo (17/7/2015).Kulia ni katibu UWT wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

DSC00403

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, akitoka ndani ya ofisi ya CCM wilaya ya Ikungi baada ya kukabidhiwa fomu za kuwania ubunge viti...

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli Atamba

g3BAKARI KIMWANGA NA PETER FABIAN, MAGU

MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania wamchague awe rais kwani atateua waziri mkuu mchapakazi atakayesimamia shughuli za Serikali wakati wote.

Amesema kwamba, anahitaji kuwa na baraza dogo la mawaziri litakalokuwa tayari kwenda kwa wananchi kutatua kero zao.

Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti katika mikutano yake ya kampeni za lala salama zilizofanyika katika Majimbo ya Magu, Sumve,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani