Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tyson Fury amchapa Klitschko na kutwaa ubingwa wa WBA, IBF na WBO

2EE3DAA800000578-0-After_picking_up_his_belts_Fury_could_now_look_to_the_prospect_o-a-13_1448835527198

Bondia kutoka Uingereza, Tyson Fury ameshinda moja ya pambano kubwa katika historia ya maisha yake kwa kumpiga Wladimir Klitschko na kuwa bingwa wa uzito wa juu duniani.

2EE44F8100000578-0-image-m-16_1448835936181

Fury, aliibuka mshindi wa jumla ya pointi baada ya marefarii wote watatu kumpa pointi nyingi zaidi ya Klitschko.

151128233803_klitschko_fury_640x360_getty

Muingereza huyo alizoa alama 115-112, 115-112, 116-111 na hivyo kutawazwa bingwa wa dunia wa uzani wa juu wa taji la WBA, IBF na WBO

2EE3DAA800000578-0-After_picking_up_his_belts_Fury_could_now_look_to_the_prospect_o-a-13_1448835527198

Tyson Fury mwenye miaka 27 amekuwa miongoni mwa waingereza walioingia katika...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Fury amchapa Klitschko na kutwaa ubingwa

Bondia Muingereza,Tyson Fury alimtamausha mshikilizi wa mataji tatu ya uzani mzito duniani Vladimir Klitschko na kutwaa ubingwa wa dunia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tyson Fury amevuliwa mkanda wa IBF

Bingwa wa dunia wa uzito wa juu, Tyson Fury amevuliwa mkanda wa IBF ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya kushinda.

 

9 years ago

Bongo5

Tyson Fury anyang’anywa mkanda wa IBF

2EE3DAA800000578-0-Tyson_Fury_became_heavyweight_champion_of_the_world_beating_Wlad-a-56_1449100672375

Bingwa wa ngumi dunia wa uzito wa juu, Tyson Fury amevuliwa mkanda wa IBF ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya kushinda.

2EE3DAA800000578-0-Tyson_Fury_became_heavyweight_champion_of_the_world_beating_Wlad-a-56_1449100672375

Bondia huyo wa Uingereza mwenye miaka 27, mwanzo alitakiwa kukubali kupigana na Vyacheslav Glazkov ili kutetea mkanda huo lakini badala yake amekubali mchezo wa mruadiano dhidi ya Wladimir Klitschko.

Fury alimpiga Klitschko wa Ukraine kwa pointi Novemba 28 mwaka huu na kushinda mikanda mitatu ya uzito wa juu iliyokuwa ikishikiliwa na bondia huyo.

Mwenyekiti wa IBF...

 

9 years ago

StarTV

Wladmir Klitschko, Tyson Fury ulingoni Jumamosi hii kwa mchezo wa masumbwi

 

  Mabondia wa uzito wa juu duniani Wldmir Klitschko wa Ukraine na Tyson Fury wa England jumamosi hii kupanda ulingoni huko Dusseldorf nchini Ujerumani huku pambano hilo la raundi 12  likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki.

Klitschko  amabaye amkuwa bingwa wa dubnia wa uzani huo tangu 2006 akiwa amepigana mara 27  na kushinda mara 23 atakuwa akitetea  taji lake la WBA, IBF na WBO dhidi ya Fury anayetamba kumtandika bondia huyo wa Ukraine.

Hali ilikuwa uya utulivu wakati mabondia hao...

 

5 years ago

BBCSwahili

Pigano kati ya Deontay Wilder na Tyson Fury II: Mike Tyson ana muunga mkono Fury

Je Tyson Fury atampiga Deontay Wilde na kuwa bingwa wa mara mbili wa kombe la dunia?

 

9 years ago

BBCSwahili

Klitschko anataka marudio dhidi ya Fury

Wladimir Klitschko sasa ameomba waandalizi wa ndondi ya uzani wa juu kumpa nafasi ya kuzichapa tena dhidi ya muingereza Tyson Fury mwakani .

 

9 years ago

BBCSwahili

Fury apokonywa ukanda wa IBF

Wiki 2 tu baada ya kumpiga Wladimir Klitschko na kutwaa mataji yote matatu ya ndondi ya IBF WBA na WBO Tyson Fury amepokonywa ukanda wa IBF

 

9 years ago

BBCSwahili

Tyson Fury 'atarambishwa sakafu'

Wladimir Klitschko atamuangusha Tyson Fury watakapopigana katika mji wa Dusseldorf siku ya jumamosi kulingana na bondia wa uzani mzito nchini Uingereza Anthony Joshua.

 

5 years ago

Michuzi

MWAKINYO KUWANIA UBINGWA WA WBO SUPER WELTER WEIGHT DHIDI YA MJERUMANI

Bondia wa Super Welter Weight Mtanzania Hassan Mwakinyo anashuka ulingoni nchini Ujerumani kupigana na bondia Mjerumani Jack Culcay kuwania mkanda wa ubingwa wa WBO International Super Welter Weight.

Pambano hilo litakalopigwa nchini Ujerumani litafanyika Machi 21 mwaka huu.

Mwakinyo (24) ambaye katika uzito wa Super Welter anashika nafasi ya kwanza kwa ubora barani Afrika  na namba 20 Duniani , atakuwa ni bondia wa kwanza Mtanzania kugombea mkanda huo ambao ni wa pili kwa ukubwa baada ya ule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani