Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uandikishaji kwa Elektroniki umeshindwa?

Upinzani umeitaka Serikali ya Tanzania kuachana na mpango wa uandikishaji kwa njia ya Elektroniki, BVR

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tiketi za elektroniki ni ishara nzuri kwa soka

Teknolojia ni mabadiliko ya sayansi yanayoendana na mazingira husika. Dunia imekuwa kijiji na zaidi ni kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dr Shein umeshindwa kuongoza nyoyo zetu

Na Rashid Abdallah Nguli wa fasihi ya Kiswahili, almarhuum bwana Shaaban Robert, aliwahi kusema hivi; “Ukitaka kuongoza watu basi ongoza nyoyo zao”. Tafsiri ya maneno haya iko wazi, lakini niongezee kwa urefu kuwa huwezi kumuongoza binaadamu […]

The post Dr Shein umeshindwa kuongoza nyoyo zetu appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

Umuhimu wa kudhibiti matumizi ya vyombo vya elektroniki kwa watoto na vijana


Zaidi ya asilimia 60 ya watoto wenye umri wa miaka 13 hadi 17 wanatumia zaidi ya masaa mawili kila siku kuangalia mitandao ya kijamii pamoja na vipindi mbalimbali vya Televisheni. Hii inaweza kuwa njia kubwa ya kuunganisha, lakini pia kuna hatari zinazohusiana na kutumia muda mwingi sana kwenye vyombo vya habari kijamii.
Leo hii ni nadra kukuta familia ambazo watoto na vijana wake hawajaathirika na vyombo vya habari na elektroniki kama vile televisheni, intaneti na michezo mingine tofauti...

 

11 years ago

Michuzi

OEF yaendelea na mpango wa kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya elektroniki

Mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Tusiime, Naomi Shija akifurahia kompyuta ya kiganjani (tablets), aliyokabidhiwa na Mwanzilishi wa Opportunity Education Foundatio (OEF), ya Marekani, Joe Rickehs, katika uzinduzi wa mpango wa kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya elektroniki shuleni hapo, ambapo OEF imeipatia shule hiyo kompyuta hizo 100. Nyuma wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Tusiime, Albert Katagira na walimu wa shule hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR waisha kwa changamoto

Wakati majaribio ya uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR yakiisha leo, wananchi wengi wameshindwa kujiandikisha kutokana na mpango wenyewe kusuasua.

 

10 years ago

Mwananchi

Zoezi la Uandikishaji kwa BVR lisitishwe

Serikali ya Tanzania imeanzisha mfumo wa kuwatambua wapigakura kwa alama za vidole, mfumo ambao huhifadhi taarifa zote muhimu za mpigakura hivyo kuondosha uwezekano wa mtu kupiga kura mara mbili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uandikishaji serikali za mitaa waanza kwa kusua

JANA ikiwa ni siku ya kwanza ya uandikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14 mwaka huu, Tanzania Daima imebaini mwitikio wa wananchi...

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji kwa mfumo wa BVR wavuka lengo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.UANDIKISHAJI katika Daftari la Kudumu la Wapiga kwa kutumia mfumo mpya wa Biometric Voters Registration (BVR) umezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ukitajwa kuanza kwa mafanikio makubwa kutokana na idadi iliyojitokeza kuanzia juzi.

 

10 years ago

Michuzi

Habari njema kwa WanaBlogu waTanzaniania juu Uandikishaji Wanachama TBN

Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.
Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka kujiunga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani