Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uandikishaji Mabibo waingia dosari

UANDIKISHAJI katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR), katika eneo la Mabibo, Dar es Salaam umeingia dosari baada ya waandikishaji kugoma kuendelea kuandikisha kutokana na kutolipwa stahiki zao kwa wakati.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi TBF waingia dosari

WAKATI Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), likitangaza kufanyika kwa uchaguzi wake mkuu Desemba 28 mwaka huu mjini Dodoma, makocha wa mchezo huo wameibuka na kuliomba Baraza la Michezo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkutano wa Msigwa, bodaboda waingia dosari

Jeshi la Polisi limelazimika kutumia nguvu ikiwamo kupiga risasi za moto hewani ili kutuliza vurugu zilizoibuka katika eneo la mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Upigaji kura Kimara waingia dosari

Shughuli za upigaji kura katika kituo cha EDP kilichoko eneo la Kimara Stop Over jana zilisimama kwa muda na wapigakura kufungiwa ndani ya kituo baada ya kukosekana kwa karatasi za kupigia kura za mgombea urais.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

DOSARI SERIKALI ZA MITAA


Wakurugenzi sita wafukuzwa kazi

Wabainika kuzembea na kuvuruga uchaguziGhasia: Serikali ilitimiza wajibu wake, sijiuzuluCHADEMA yazidi kuweweseka na matokeo
WALIOTIMULIWA KAZI
Benjamin Majoya- Mkuranga
Abdalla Ngodu- Kaliua 
Masalu Mayaya- Kasulu 
Goody Pamba- Serengeti 
Juliua Madiga -Sengerema 
Simon Mayeye- Bunda

WALIOSIMAMISHWA KAZI
Felix Mabula- Hanang 
Fortunatus Fwema- Mbulu 
Isabella Chilumba- Ulanga 
Pendo Malabeja- Kwimba 
William Shimwela- Sumbawanga

WALIOPEWA ONYO
Mohamed Maje- Rombo 
Hamis Yuna...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeraha lamtia dosari Azarenka

Azarenka ameshindwa kushiriki mara mbili katika mashindano ya Australian Open

 

9 years ago

Mtanzania

Stewart agundua dosari Azam

Stewart-HallNA MSHAMU NGOJWIKE, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall raia wa Uingereza, amegundua dosari ndani ya kikosi chake huku akieleza kuwa hajaridhishwa na ubora wa nyota wake kutokana na uwezo walioonyesha katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons.

Azam ambao wameanza mkakati wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kushindwa kuutetea msimu uliopita, juzi waliwakaribisha Prisons kwenye Uwanja wa Azam, Complex na kufanikiwa kuibuka...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali ondoe dosari hizi

UCHAGUZI wa Serikali za Mtaa kwa upande wa Tanzania Bara unatarajiwe kufanyika Disemba 14 mwaka huu. Kabla ya tarehe ya kufanyika uchaguzi huu, yalikuwapo maneno mengi kutoka katika makundi mbalimbali...

 

9 years ago

Global Publishers

Dili la SamattaKusajiliwa Ubelgiji latiwa dosari

samattaKazi sasa, mambo yanazidi kuonekana magumu baada ya klabu ya TP Mazembe kusema ingependa kuona mshambuliaji Mbwana Samatta anajiunga na Standard Liege na siyo Gent kama ilivyokuwa hapo awali.

Uamuzi huo wa Mazembe, wazi unaonekana kumchanganya Samatta ambaye tayari alifanya mazungumzo na Gent na kumalizana nayo, alichokuwa anasubiri ni vigogo hao wa Ubelgiji kubalizana na TP Mazembe.

Lakini kwa hali ilivyo inaonekana TP Mazembe, umeshindwa kumalizana na Gent na sasa wameamua ajiunge na Liege...

 

9 years ago

Mwananchi

Dosari za kutumia uzazi wa mpango wa dharura

Kupata mimba ni jambo la baraka ingawa inategemea na mpokeaji wa hali hiyo. Wasichana wengi hasa walio na uwezo wa kushika mimba ambao wanasoma au hawajaolewa wamekuwa wakijihusisha na matukio ya kutoa mimba mara kwa mara bila kufikiria athari zitakazowakabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani