Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UANGALIZI SAHIHI WA WATOTO-3

Tunaendelea na makala haya yanayohusu uangalizi sahihi wa watoto.
LISHE KWA MTOTO
Mara baada ya kuzaliwa, mtoto anatakiwa anyonye maziwa ya mama mfululizo kwa miezi sita endapo alizaliwa salama na baada ya miezi sita aanze kupewa chakula mchanganyiko huku akiendelea na maziwa ya mama.
Mama anapompeleka mtoto kliniki, atapata ushauri juu ya lishe bora na jinsi ya kumtunza. Mama anayenyonyesha anaweza kuwa na matatizo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UANGALIZI SAHIHI WA WATOTO

Uangalizi wa watoto wachanga na watoto wakubwa  una lengo la kuboresha afya na maendeleo ya mtoto ili aweze kukua vizuri na awe na afya njema. Katika suala hili, mtoto anaendelezwa kwa kupata elimu vizuri, chanjo na kuchunguzwa afya yake na kupatiwa tiba kwa tatizo linalojitokeza. Mtoto anafanyiwa tathmini ya afya tangu pale anapozaliwa siku ya kwanza kuona kama yupo mkamilifu kwamba analia mara moja, viungo vyake vipo kamili....

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.  Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wapi ni mahala sahihi pa kukaa na watoto?

Ni siku nyingine yenye amani tele wajukuu zangu tunakutana tena katika safu yetu. Leo wajukuu zangu napenda tuangalie mada ambayo kidogo inaonekana imejificha, lakini ni muhimu sana hasa kwa ninyi wajukuu zangu.

 

10 years ago

Mwananchi

Ongezeko la picha za watoto mitandaoni siyo sahihi

Maendeleo ni matokeo ya jitihada na nguvu zilizotumika katika kuwekeza. Taifa haliwezi kupata maendeleo ya kweli mpaka pale thamani ya watoto wake inapowekwa wazi kwa kila raia. Mtoto ni rasilimali ambayo ikiandaliwa vyema taifa linaweza kufikia maendeleo na kuondokana na umasikini.

 

9 years ago

Vijimambo

UANGALIZI WA FYA NA MATIBABU WA BURE DMV

Kwa taafira zaidi na maelekezo piga simu Buite 240 706 6333

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima chini ya uangalizi maalumu TMJ

Hali ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima inaendelea vizuri, ingawa haijabainika anasumbuliwa na tatizo gani kiafya hadi hapo vipimo vitakapopatikana.

 

11 years ago

Mtanzania

Benki ya FBME yawekwa chini ya uangalizi

FBME

FBME

NA MWANDISHI WETU

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) jana ilitangaza kuchukua usimamizi wa Benki ya FBME Tanzania, MTANZANIA Jumamosi linaripoti.

Hatua hiyo imechukuliwa kuanzia juzi Alhamisi kutokana na kashfa zilizoikumba benki hiyo inayomilikiwa na raia wa Lebanon.

Taarifa hizo zimeeleza kuwa uamuzi huo umetokana na Benki Kuu ya Cyprus (CBC) kuchukua uendeshaji tawi la FBME Ltd nchini Cyprus, kufuatia taarifa za Mtandao wa Kupambana na Uhalifu wa Kifedha wa Marekani (FinCEN), kuihusisha na...

 

10 years ago

Habarileo

Shehe Maduga na wenzake wawekwa chini ya uangalizi

MWANAZUONI na Mwanaharakati maarufu wa Kiislamu, Shehe Waziri Amani Maduga na wenzake wanne wote wakazi wa mkoa wa Morogoro wamewekwa chini ya uangalizi wa miaka miwili huku wakitakiwa kutunza amani ya nchi baada ya kutolewa kwa amri na mahakama kufuatia ombi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dhidi yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbita atimiza siku 47 katika uangalizi maalumu Muhimbili

Dar es Salaam. Brigedia Jenerali mstaafu, Hashimu Mbita ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN), ametimiza siku 47 akiwa katika chumba cha uangalizi maalumu huku wataalamu wakisema hali yake si mbaya wala si ya kuridhisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani