Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubadhirifu nchini, unatia kichefuchefu

Rushwa na ubadhirifu ni uozo ulioota mizizi nchini. Hali hizi hazikuwa maarufu wakati ambapo kweli Tanzania ilikuwa ikifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea kwa sababu, siasa hiyo haikuruhusu ubinafsi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Mradi ‘Vitambulisho vya Kura’ unatia shaka

>Maelezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu mradi wake wa matumizi ya teknolojia mpya ya Biometric Voter Registration (BVR) katika maboresho ya Daftari la Kudumu la Wapigakura yameacha maswali mengi kuliko majibu.

 

10 years ago

Mwananchi

Rushwa barabarani yamtia kichefuchefu JK

Rais Jakaya Kikwete amekiagiza Kikosi cha Usalama Barabarani kufanya mabadiliko ya teknolojia katika utendaji wake ili kuondoa mianya ya rushwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Siri nzito; Kichefuchefu, kutapika wakati wa ujauzito

>Katika hili hakuna mpaka kwamba wanawake wengi duniani huumwa wakati wa ujauzito.Maradhi yao kwa lugha ya kitaalamu huitwa, maradhi ya asubuhi au kwa lugha ya Kiingereza ‘morning sickness’.

 

9 years ago

Habarileo

15 kushitakiwa kwa ubadhirifu

JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakusudia kuwafikisha wakuu wa shule zake 15 kwenye vyombo vya sheria kutokana na madai ya ubadhirifu wa fedha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BAKWATA yachunguza ubadhirifu

KATIBU wa Baraza la Waislamu  Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Dodoma, Hussein Kuzungu, amesema baraza hilo linafanyia uchunguzi  tuhuma za ubadhirifu wa fedha kati ya sh milioni 30 na 40 zinazodaiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ubadhirifu wakimbiza wafadhili

Kamati ya Shirika la New Yearly Meeting la Marekani, imesitisha ufadhili wa wanafunzi wanaosoma elimu ya juu, vyuo mbalimbali na ujenzi wa nyumba za walimu shule ya msingi na sekondari Kisangura, wilayani Serengeti kutokana na jamii kutotoa ushirikiano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghana FA lakanusha ubadhirifu Brazil

Shirikisho la soka la Ghana limekanusha madai ya ubadhirufu wa fedha katika kombe la dunia la mwaka uliopita Brazil

 

11 years ago

Tanzania Daima

CAG achunguza ubadhirifu TPRI

TAASISI ya Utafiti wa Dawa za Mimea na Wadudu (TPRI) yenye makao makuu mkoani Arusha imekumbwa na kashfa ya ubadhirifu wa fedha zaidi ya sh milioni 317 ambazo hazijulikani matumizi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Songea yalia ubadhirifu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Ruvuma, kimeitupia lawama Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani hapa kwa kushindwa kumsaidia Rais Jakaya Kikwete katika kuwafichua na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani