Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBAYA WA UBALOZI WETU WA ROME ITALY

tanzaniaVijimambo imepata barua ya moja ya Mtanzania anayeshi Italy akiwakilisha Watanzania wenzake wa nchi za Uturuki na Ugiriki ambazo Ubalozi huo hutoa huduma kwa nchi hizo akilalamikia utendaji wa kazi wa Ubalozi wa Tanzania Rome Italy kwamba haufurahishi hata kidogo na huduma kwa wananchi wa Tanzania wanaohudumiwa na Ubalozi huo ni za kutatisha tamaa na pamoja na mambo mengine lalamiko kuu lilikua ucheleweshaji wa pasi za kusafiria zikiwemo za watoto wao wanaozaliwa huko kupata pasi za...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE NA MWANA FA WATEMBELEA UBALOZI WETU MAREKANI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na mwanamuziki mkongwe wa Bongo Flava, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA wakati mwanamuziki huyo alipokutana na Waziri huyo jijini Washington DC katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Waziri Chikawe yupo nchini humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani, na kwa upande wa Mwana FA yupo nchini Marekani kwa ajili ya matembezi yake binafsi hata hivyo alienda ubalozini...

 

10 years ago

Michuzi

makamu mwenyekiti wa UVCCM Mboni Mhita atembelea ubalozi wetu marekani

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Umaaja wa Vijana wa CCM  Mhe.Mboni Mhita (kulia)  na Bi. Loveness Mamuya  kabla (juu) na baada (chini) ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni ubalozini Washington DC

 

10 years ago

Michuzi

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah atembelea ubalozi wetu Malaysia

 Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akiongea na na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa Tanzania Jumatatu tarehe 02 March 2015.Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah pamoja na Maafisa wa Bunge akiwa katika picha ya na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa TanzaniaJumatatu tarehe 02 March 2015.

 

9 years ago

Mtanzania

Octopizzo: Sitajibu ubaya kwa ubaya

octoMSANII wa Kenya, Octopizzo amesema hatorekodi wimbo wa kuponda wabaya wake kwa kuwa kuendeleza ubaya kwa ubaya ni kupoteza muda bure.

Mwana hip hop huyo wa Kenya alikuwa katika majibizano makali na wasanii wenzake wa hip hop nchini humo; King Kaka, Jones, Khaligraph na Juliani.

Katika mahojiano na redio USIU ya nchini humo, alisema anapotaka kusaka mkwanja ataendelea kuusaka na hatotumia muda wake kujibizana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rome mwenyeji fainali ya Gofu 2022

Mji wa Rome ulioko nchini Italy umechaguliwa kuwa wenyeji wa michuano ya gofu ya Ryder cup ya mwaka 2022.

 

5 years ago

The Citizen Daily

Kenya Airways suspends flights to Rome- Geneva

Kenya Airways suspends flights to Rome- Geneva  The Citizen DailyFull list of flight cancellations by British Airways, easyJet, Jet2, Ryanair and more due to coronavirus  ExaminerLiveView Full coverage on Google News

 

5 years ago

Washington Post

Lives Lost: A man loved by many, a death at 80 alone in Rome

Lives Lost: A man loved by many, a death at 80 alone in Rome  Washington PostView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani