Uchaguzi Chalinze usirudie makosa ya Kalenga
Uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa ulimalizika mwishoni mwa wiki na Chama cha Mapinduzi (CCM), kiliibuka mshindi. Uchaguzi huo ulikuwa wa kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Dk. William Mgimwa aliyefariki dunia Januari mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Daily News27 Feb
Kalenga, Chalinze polls in pipeline
Daily News
POLITICAL parties have been urged to maintain peace and promote democracy in the coming parliamentary by-election in Kalenga, Iringa and Chalinze in Coast Region. The Registrar of Political Parties, Justice Francis Mutungi, said in a statement on ...
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Tunalo la kujifunza Kalenga, Chalinze
UCHAGUZI mdogo wa ubunge katika majimbo ya Kalenga mkoani Iringa na Chalinze mkoani Pwani, umemalizika kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanikiwa kuyatetea. Vyama kadhaa vya siasa vilishiriki uchaguzi huo, lakini...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Chalinze kama Kalenga, tuchukue hatua
UCHAGUZI mdogo wa ubunge katika Jimbo la Chalinze umekwisha huku idadi ya wapiga kura ikizidi kupungua siku hadi siku. Kila uchao tumeendelea kushuhudia chaguzi nyingi hasa za marudio, kuanzia ngazi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-auPsqvIuirU/UyLBfvVzoaI/AAAAAAAFTe0/yyaMarrlRHs/s72-c/IMG_8915.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-auPsqvIuirU/UyLBfvVzoaI/AAAAAAAFTe0/yyaMarrlRHs/s1600/IMG_8915.jpg)
11 years ago
MichuziTume ya Uchaguzi yavitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuwatumia mawakala kutoka ndani ya jimbo hilo
Akizungumza katika mkutano baina ya vyama vya siasa na tume hiyo,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa pamoja na kuwa sheria haikatazi kwa vyama kuteua mawakala wa vyama kutoka majimbo mengine ya...
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Chopa yazua mtafaruku uchaguzi Kalenga
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Uchaguzi Ubunge kufanyika leo Kalenga
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Uchaguzi Kalenga na roho iliyo mkononi