Uchaguzi nchini Malawi umetufunza nini?
Wananchi wa Malawi wamempata rais mpya baada ya wiki iliyopita kumchagua Profesa Peter Mutharika kuiongoza nchi hiyo. Rais Mutharika, aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wakati wa utawala wa kaka yake, hayati Rais Bingu wa Mutharika, alishinda kiti hicho kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote, huku aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa kupata asilimia 20.2 akitanguliwa na Dk Lazarus Chakwera aliyepata asilimia 27.8.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MJUE MGOMBEA WA KITI CHA URAIS WA MAREKANI NA NINI TUNACHOWEZA KUJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA URAIS NCHINI TANZANIA

Na Mwandishi Maalum
Wakati mdahalo wa pili wa wagombea wa chama cha Republican unasubiriwa kwa hamu usiku wa Jumatano tarehe 16 Septemba, ni vyema kuandika machache kuhusu mgombea Donald Trump ambaye anaendelea kuongoza kura za maoni katika kundi kubwa la wagombea wa chama cha Republican kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kuingia Ikulu ya Marekani mwishoni mwa mwaka kesho. Katika kuchambua harakati za Bwana Trump za kuusaka uongozi wa juu wa taifa la Marekani pia tumejaribu...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Wananchi: Mdahalo umetufunza mengi
10 years ago
Vijimambo
Balozi mpya wa Denmark nchini na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malawi wakutana na Dk Shein Ikulu


11 years ago
BBCSwahili20 May
Uchaguzi wa Malawi kwa picha
11 years ago
BBCSwahili24 May
Matokeo ya uchaguzi yatangazwa Malawi
11 years ago
BBCSwahili19 May
Malawi:Maandalizi ya uchaguzi yakamilika
11 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi wa Malawi wageuka 'Sarakasi'
11 years ago
BBCSwahili29 May
Malawi;Matokeo ya uchaguzi ni Ijumaa
11 years ago
BBCSwahili22 May
Shauku kubwa ya matokeo ya uchaguzi Malawi