Wananchi: Mdahalo umetufunza mengi
>Mdahalo wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere na kurushwa juzi na ITV umeelezwa kuwa uliotoa mafunzo makubwa kwa watu wengi katika maeneo mbalimbali nchini kuhusu mchakato wa Katiba Mpya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Wananchi mnakaribishwa kushiriki mdahalo wa Katiba MCC Musoma tarehe 24 Januari, 2015
Marais wote wa Tanzania Bara Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein wakionyesha juu Katiba inayopendekezwa ili wananchi waweze kuziona wakati wa sherehe ya makabidhiano ya Katiba hiyo mwaka jana tarehe 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma. Kulia ni Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta. (Picha na Maktaba).
Press Musoma.docx by moblog
10 years ago
Vijimambo
WANANCHI WA KISARAWE WASHIRIKI MDAHALO WA AJENDA YA WATOTO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015



11 years ago
Dewji Blog10 May
Kinana : Viongozi wana mengi ya kujifunza kutoka Kwa Wananchi

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Igunga kwenye viwanja vya Sokoine na kutaka Viongozi wajifunze kutoka kwa wananchi ili waendane na kasi ya mabadiliko.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Igunga waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya mikutano vya Sokoine na kuwaambia wanasiasa waache kuwababaisha watu na suala la muundo wa serikali badala yake waje na hoja zinazogusa maisha ya kila siku mfano changamoto la mbegu za Pamba...
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Uchaguzi nchini Malawi umetufunza nini?
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Live huyu hapa Ngeleja: Hotuba yake yajibu maswali mengi ya wananchi

Mbio za Uraisi
Mbunge wa Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi uliopelekea kuvuliwa uwaziri.

Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia ya kuwania urais, Ngeleja amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo si sahihi.
Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya...
10 years ago
Michuzi
HOTUBA YA NGELEJA KATIKA KUTANGAZA NIA YA URAIS WA TANZANIA YAJIBU MASWALI MENGI YA WANANCHI

Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya kuwa na udhaifu katika...
10 years ago
Vijimambo
MKE WA BILLIONEA MENGI K-LYIN AAMUA KUBADILI JINA MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA MH. MENGI



5 years ago
BBCSwahili23 Feb
Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Mkewe Reginald Mengi adai kuzuiwa kuona kaburi la mumewe Tanzania
10 years ago
Vijimambo
Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake

Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...