Uchaguzi S/Mitaa kusogezwa mbele
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema anakusudia kumwomba Rais Kikwete kusogeza mbele Uchaguzi wa serikali za mitaa hadi mwakani wakati Bunge la Katiba litakapokamilisha kazi yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Jul
JK: Uchaguzi serikali za mitaa kusogezwa
RAIS Jakaya Kikwete amesema uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa ufanyike mwezi Oktoba mwaka huu, huenda ukasogezwa mbele kutokana na kutokamilika kwa mchakato wa rasimu ya mabadiliko ya Katiba.
5 years ago
Michuzi
GAMBO WENYEVITI WA MITAA VIJIJI TEMBEENI KIFUA MBELE KWA KUJIAMINI

Aidha Mkoa wa Arusha unaweza kudhibiti vitendo vya kiuhalifu kwa raia iwapo viongozi kuanzia ngazi ya mtaa wataweza kuwajibika kwa nafasi zao kutekeleza majukumu ya kulinda usalama wa maeneo yao kwa kufichua wahalifu na vitendo vya kihalifu.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo...
11 years ago
Michuzi
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014


11 years ago
Michuzi
UCHAGUZI TASWA WASOGEZWA MBELE

Uamuzi wa kusogeza mbele tarehe ya kufanyika uchaguzi huo imechukuliwa na Sekretarieti ya TASWA kutokana na sababu mbalimbali, lakini kubwa ni kutoa nafasi kwa wanachama wengi zaidi kulipia ada zao kwa ajili ya kushiriki mkutano huo wa uchaguzi.
Hadi kufikia leo mchana idadi ya...
10 years ago
Michuzi
NEC:UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE


10 years ago
Michuzi
UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE - NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uchaguzi mkuu utafanyika kama ulivyopangwa na haiwezi kufanya uchaguzi huo usogezwe mbele kutokana na suala hilo kuwa la kikatiba.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa wanasiasa wamekuwa na kauli ambazo zinawafanya wananchi wapate hofu wakati suala hilo kuhairisha uchaguzi halipo katika...
10 years ago
BBCSwahili28 May
CAF: Uchaguzi wa FIFA uendelee mbele
10 years ago
GPL
NEC: UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Burundi yatakiwa kusogeza mbele uchaguzi
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
JUMUIYA ya Nchi za Afrika Mashariki (EAC), zimeitaka Burundi kusogeza mbele muda wa uchaguzi kwa mwezi mmoja na nusu ili kurejesha hali ya usalama nchini humo.
Uamuzi huo umefikiwa jana jijini Dar es Salaam na kusomwa na Katibu Mkuu wa EAC, Dk. Richard Sezibera kwa niaba ya wakuu wa nchi za Afrika Mashariki, akisema utasaidia kupunguza vurugu zilizokuwa zikiendelea nchini humo.
Burundi ilikuwa imepanga kufanya uchaguzi wa wabunge wiki ijayo na wa rais Juni...