UCHAMBUZI: Tusiwakomaze Watanzania kwa mabomu haya
>Hakuna jambo la hatari kama kuingiza siasa katika masuala muhimu na nyeti kama ya usalama, kiasi kwamba mabomu yanayolipuliwa Arusha na Zanzibar yameibua maswali mengi yasiyo na majibu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Haya ndiyo matamanio ya Watanzania kwa Dk Magufuli
10 years ago
Mwananchi09 Jun
UCHAMBUZI: Umewahi kumuuliza mtoto wako maswali haya?
10 years ago
Mwananchi20 Feb
UCHAMBUZI: Watanzania tuna uwezo wa kuwalinda albino wasiteketee
11 years ago
Dewji Blog08 May
Chonde chonde …..Jeshi la Polisi chukueni hatua dhidi ya mabomu haya!
WATANZANIA taratibu wameanza kuona kama ni mchezo wa kuigiza au mazoea pale kila baada ya muda fulani tukio la kulipuka kwa bomu katika kanisa au sehemu ya mkusanyiko au kwenye mkutano wa kisiasa kama ni jambo la kawaida.
Imefikia mahali kwamba milipuko ya mabomu inaanza kuonekana kama ni sehemu ya utamaduni wetu kwa kukubali kwa kirahisi watu wenye dhamira ovu na katili ya kutaka kuangamiza binadamu wenzao pasipo sababu ya msingi na hata kama mtu ana sababu ya msingi kuelezea hisia zake...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Matukio haya yamekinaisha Watanzania
WATANZANIA tumekinai kuona damu za ndugu zetu zisiyo na hatia zikimwagika. Tumechoshwa kushuhudia mauaji ya kinyama, utekekwaji na uteswaji wa watu na mauaji ya mabomu yanayoendelea na kusababisha vifo. Pamoja...
10 years ago
VijimamboSHUKURANI KWA WATANZANIA KUTOKA KWA FAMILIA YA MAGEGE NA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvaniakwa pamoja na Magege's Family,Tunatoa shukurani zetu za dhati kwa wotewaliojitokeza kwa namna Moja au nyengine katika kufanikisha mazishi yaMpendwa Mzee wetu Alfred Magege.Kwa pamoja tumefarijika na upendo mliotuonyesha katika Kipindi chotecha Msiba wa Mzee wetu naHatuna cha kuwalipa isipokuwa kukuombeeni dua kwa Mwenyezi Munguakuzidishieni Baraka na Daima tuendelee kuwa wamoja katika shida naraha.
Vile vile Tunatoa...
10 years ago
Dewji Blog21 Aug
Jeshi la Polisi latangaza dau kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa kinara wa matukio ya kigaidi na ulipuaji wa mabomu nchini
‘Sensei’ Yahaya Hassan Hella pichani kinara wa matukio mbalimbali ya ulipuaji wa mabomu hapa nchini ambaye Jeshi la Polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vinamtafuta huku Serikali ikitangaza dau kwa mtu atakeyetoa taarifa zake kwenye kituo cha polisi kilichokaribu nawe. (Picha na Mahmoud Ahmad, Arusha).
10 years ago
GPLWATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.
10 years ago
Vijimambo24 Mar
WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI
![](https://www.rafikifoundation.org/CMS/Images/tanzaniamap.png)