Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchumi washindwa kuzalisha ajira

LICHA ya uchumi wa Tanzania kukua kwa asilimia 7.1 na kufanya vizuri katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, bado umeshindwa kutengeneza ajira zenye tija kwa haraka. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi ...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

ACT: Usafi unapaswa kuzalisha ajira

CHAMA cha ACT–Wazalendo kimesema mfumo wa kusimamia sera na sheria katika suala la usimamizi wa usafi na utunzaji wa mazingira unapaswa kuzalisha ajira, kuendana na kiwango cha ukuaji na ongezeko la watu katika miji nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nitaifanya JKT kuzalisha ajira kwa vijana

Mgombea Urais wa Chadema kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa amesema akiiangia madarakani atashughulikia suala la ukosefu wa ajira hasa kwa vijana kwa kuhakikisha vijana wanajiunga na kwenye mafunzzo ya Jeshi la Kujenga Taifa na kupatiwa mafunzo ya ufundi stadi.

 

10 years ago

Dewji Blog

URAIS2015: Kwa Nini nimechagua kuzalisha ajira kuwa kipaumbele cha kwanza? — Kigwangalla

5edcc9e9

Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla (CCM) ambaye ametangaza nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2015.

Nchi yoyote ili iendelee lazima watu wake wawe na amani, uhuru, furaha, uzalendo, uwajibikaji, nidhamu ya kazi, ubunifu na uchapakazi. Ili watu wetu wawe na vitu hivi lazima tujenge misingi ya usawa na motisha. Usawa utawafanya watu waone nchi yao inawajali na hivyo watavumilia jua na mvua. Motisha itawafanya watu wawe tayari...

 

5 years ago

Michuzi

HUSSEIN MAKUNGU 'BHAA' "NIKIPATA URAIS NITAKUZA UCHUMI WA ZANZIBAR NA AJIRA KWA VIJANA


NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR

MWAKILISHI wa Jimbo la Mtoni na Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya
 Muungano, kupitia nafasi tano za Uwakilishi, Mhe. Hussein Ibrahim Makungu maarufu "Bhaa' amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

Bhaa amepongeza Demokrasia ndani ya CCM kwa wenye sifa kujitokeza kuwania nafasi hiyo nyeti na endapo atapitishwa kugombea Urais ameahidi ataleta mageuzi ya kiuchumi na ajira kwa Vijana huku kudumisha Muungano uliopo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa aifagilia MeTL GROUP kwa kukuza Uchumi na kuongeza ajira kwa wazawa

DSC_0552

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwasili kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere,  barabara ya Kilwa, jijini Dar.

Na Mwandishi wetu

Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ameipongeza makampuni yaliyochini ya Kundi la METL kwa kuhakikisha ajira kwa watanzania na soko la mali ghafi kwa wakulima wa bidhaa mbalimbali nchini.

Silaa alisema hayo jana wakati alipotembelea banda la...

 

11 years ago

GPL

JERRY SILAA AIFAGILIA METL GROUP KWA KUKUZA UCHUMI NA KUONGEZA AJIRA KWA WAZAWA‏

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwasili kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TANTRADE kwenye viwanja vya maonesho ya Sabasaba mara...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA AJIRA TANZANIA WAELEZA MIKAKATI YAO YA KUWASAIDIA VIJANA WANAOKUBWA NA JANGA LA KUKOSA AJIRA

Afisa Habari wa Wakala wa Ajira Tanzania (TaESA) Jamilah Mbarouk akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mkakati wao wa kuanzisha mafunzo ili kuweza kuwasaidia vijana wahitimu ili wakabiliane na soko la ajira, Wakala umekuwa ukitoa mafunzo ya namna ya kushindania fursa za ajira. Mafunzo haya yamevutia watafutakazi wengi ambao tayari wako sokoni na walioko vyuoni. Aidha mafunzo haya yamewabadilisha vijana wengi waliohudhuria kuhusu suala zima la kuajiriwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHUMI: Tukiboresha teknolojia, tutakuza uchumi

>Maendeleo ya uchumi na jamii ni mchakato wa ukuaji wa kasi wa pato la taifa na mabadiliko ya mfumo wa uchumi kutoka kutegemea kilimo, ufugaji na uvunaji wa mali ya asili na kuelekea kutegemea viwanda na huduma za kisasa. Nchi maskini zinategemea sana sekta za msingi hususan kilimo, ufugaji na uvuvi.

 

10 years ago

Mtanzania

Ukawa washindwa kuafikiana

UKAWNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIKAO cha viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimeshindwa kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kushindwa kuafikiana kuhusu hoja iliyowasilishwa na Chama cha NCCR-Mageuzi, ya kutaka kujitoa kwenye umoja huo, imefahamika.
Viongozi hao walikutana jijini Dar es Salaam jana katika Ofisi Kuu ya Chama cha Wananchi (CUF), ambapo pamoja na mambo mengine walikuwa wakijadili hatima ya kuachiana majimbo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani