Ukawa washindwa kuafikiana
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIKAO cha viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimeshindwa kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kushindwa kuafikiana kuhusu hoja iliyowasilishwa na Chama cha NCCR-Mageuzi, ya kutaka kujitoa kwenye umoja huo, imefahamika.
Viongozi hao walikutana jijini Dar es Salaam jana katika Ofisi Kuu ya Chama cha Wananchi (CUF), ambapo pamoja na mambo mengine walikuwa wakijadili hatima ya kuachiana majimbo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Mar
Serikali na waasi kuafikiana Mali
10 years ago
BBCSwahili04 Apr
Nyuklia:Marekani kuafikiana na Iran
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Wanamichezo washindwa kujivunia
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Miyeyusho, Cheka washindwa kutamba
MABONDIA wa Tanzania, Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’ na Francis Cheka ‘SMG’, juzi walishindwa kupeperusha vema bendera ya Tanzania katika mapambano yao ya kimataifa yaliyopigwa Ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar...
10 years ago
Habarileo27 Sep
Madiwani washindwa kuwabana wezi
TANI 35 za mahindi yaliyotolewa na serikali kukabili njaa wilayani Korogwe Vijijini, zinadaiwa kuibwa na baadhi ya watendaji wa halmashauri na kuuzwa jijini Dar es Salaam.
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
Chelsea washindwa kutamba Ulaya
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Upinzani washindwa kuungana Uganda
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
TP Mazembe washindwa tena Japan
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Uchumi washindwa kuzalisha ajira
LICHA ya uchumi wa Tanzania kukua kwa asilimia 7.1 na kufanya vizuri katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, bado umeshindwa kutengeneza ajira zenye tija kwa haraka. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi ...