Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Udhaifu wa kitaasisi unalitesa Bunge

“MHESHIMIWA Spika, leo kupitia kituo cha Televisheni ya TBC, Balozi Sefue analiambia Taifa kwamba ripoti hiyo haijakamilika na kuwataka wabunge waache kumshinikiza CAG kuleta ripoti hiyo Bungeni. Kwa hali hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Udhaifu wa Al Ahly, usiwahadae Yanga 

TANZANIA imesaliwa na timu moja tu ya Yanga katika medani ya kimataifa, baada ya Azam iliyokuwa ikishiriki Kombe la Shirikisho kuishia raundi ya awali kama ilivyo kwa KMKM na Chuoni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manara anapofichua udhaifu wa wachezaji

JINA Kitwana Manara sio geni masikioni mwa wadau wa soka hapa nchini, hasa kutokana na umahiri aliokuwa nao langoni sambamba na kusakata kabumbu awapo dimbani. Manara ni miongoni mwa nyota...

 

9 years ago

Raia Mwema

Udhaifu wa CCM si ubora wa Ukawa

HATIMAYE ‘wapinzani wakuu’ katika Uchaguzi Mkuu ujao, yaani chama tawala CCM na Ukawa wamefanikiw

Evarist Chahali

 

10 years ago

Habarileo

JK akemea udhaifu, woga wa viongozi

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kuacha udhaifu na woga kwa kushindwa kusimamia kikamilifu sheria za utunzaji wa mazingira katika milima ya Uluguru.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kauli ya Pinda yaonyesha udhaifu’

Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wamemkosoa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutokana na kutamani kung’olewa kwenye nafasi, wakidai kuwa kauli yake inaonyesha jinsi alivyo mpole na dhaifu kiutendaji .

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha akiri udhaifu Bandari

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amesema, Serikali itabadilisha kanuni kwa malengo mahususi ya kudhibiti misamaha ya kodi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe wamedhihirisha udhaifu wetu Watanzania

Nakiita kioja. Kioja hicho kilitokea siku tatu tu baada ya kuanza kwa Bunge maalumu la Katiba. Eti wajumbe wake walikataa posho ya Sh300,000, huku wakitaka waongezewe hadi Sh500,000 kama ilivyokuwa kwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

UDHAIFU: Dakika 45 za mwisho zaiua Yanga SC

>Ni nguvu ya soda. Hivyo, ndivyo unavyoweza kuzungumzia Yanga ambayo imekuwa ikisifika nchini kuwa na beki imara iliyotengeneza ukuta mgumu, usiopitika kwenye mechi za Ligi Kuu msimu huu, lakini ndiyo imeonekana  nyepesi  zaidi kwa mabao kipindi cha pili.

 

10 years ago

Mwananchi

Ubora, udhaifu wa makocha Ligi Kuu

Ligi Kuu Tanzania Bara inazidi kushika kasi huku ushindani baina ya timu na timu ukizidi kupamba moto. Wakati ligi ikiwa kwenye mzunguko wa mwisho, zipo timu ambazo zimeonyesha kiwango cha juu huku nyingine zikionyesha kiwango kibovu. Pia kuna timu ambazo zimeonyesha kiwango cha wastani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani