Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UDHIBITI WA KUCHEPUSHA DAWA ZA SERIKALI WAANZA KUTEKELEZWA

 Ofisa Uhusiano Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Bi Etty Kusiluka (kushoto), akizungumza na mwananchi Juma Nyingi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimueleza mkazi wa Utete kutoka wilaya ya Rufiji, Omary Abdallah shughuli mbalimbali zinazofanywa na MSD baada ya kutembelea banda la MSD leo mchana.
 Vitanda vya hospitali vilivyopo katika banda la MSD.



Na Dotto Mwaibale
IDADI ya vidonge vinavyosambazwa na Bohari ya Dawa (MSD) ambavyo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mbunge ahoji udhibiti wa dawa feki

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za kisheria kwa wafanyabiashara na kampuni ambazo zimekuwa zikiingiza dawa bandia za binadamu. Alitoa kauli hiyo bungeni leo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kilwa Kaskazini Murtaza Mangungu (CCM).

 

9 years ago

Michuzi

Maagizo ya Rais Magufuli kuhusu safari za nje za watendaji wa Serikali yaanza kutekelezwa

Kufuatia maagizo ya Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoyatoa hivi karibuni ya kusitisha safari za nje kwa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imeanza kutekeleza maagizo hayo kwa kutoa maelekezo mahsusi kwa Balozi zake nje.
Wizara imezielekeza Balozi zote zilizopo maeneo mbalimbali duniani kujipanga ili kushiriki kikamilifu katika kuiwakilisha Serikali kwenye mikutano yote ya kimataifa na kikanda...

 

5 years ago

Michuzi

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya James Kaji aunguruma jijini Vienna, Austria

 Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya James Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu unaofanyika jijini Vienna, Austria, imekuwa ni mfano bora kwa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SOKOMOKO LA MIGOMO Serikali imepoteza udhibiti

HISTORIA ya Tanzania imekubali dhana kwamba, kuna awamu nne za uongozi hata sasa; yaani, awamu ya kwanza (1961 hadi 1985) ya Mwalimu Nyerere, awamu ya pili (1985 hadi 1995) ya...

 

9 years ago

Michuzi

MSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa

Serikali imeamua kuwa itahakikisha dawa zote katika Mahospitali na Vituo vya afya zinapatikana wakati wote. Na kama ambavyo ahadi hiyo imekuwa ikinadiwa na Rais Dkt. Magufuli katika kampeni zake, sasa ni hatua ya utekelezaji wa ahadi hii kwa wananchi umefikia wakati.

Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...

 

5 years ago

Michuzi

MTAFITI WA DAWA ZA MITISHAMBA AIOMBA SERIKALI KUICHUNGUZA DAWA YAKE YA CORONA ALIYOIGUNDUA.

Na Woinde Shizza ,ARUSHA
Mtafiti wa Dawa za asili aliyejulikana kwa jina la Rose Roberty (changa Muja) ameiomba Serikali kumsaidia kupima dawa aliyogundua na kuifanyia majaribio kuona kama inatibu ugonjwa wa Corona (Covid-19)
Akiongea na waandishi wa habari  leo  nyumbani kwake,Rose alieleza kuwa  ameweza kugundua dawa ambayo inaweza ikatibu ugonjwa huu ambao unaotikisa dunia ,na anaimani kabisa dawa hiyo itaweza kuponya ugonjwa huo.
Alisema dawa hiyo inatokana na mchanganyiko wa miti shamba...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

11 years ago

Michuzi

POLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.

"Haya Mheshimiwa Mbunge sasa nakata utepe kuzindua rasmi usambazaji dawa za serikali ulio chini ya MSD" ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe akishuhudiwa na Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Tibaijuka (Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini) . "Haya tupige makofi kwa pamoja kuashiria kukubali uzinduzi huu" Naibu Waziri Dk. Kebwe (Kulia), Waziri Prof. Tibaijuka (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu MSD Bw. Mwaifwani.
Afisa Habari wa...

 

5 years ago

Bongo5

Serikali yatoa ufafanuzi udhibiti, ulinzi na wizi wa kazi za sanaa

Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo imesema bodi ya filamu imeendelea kuwaelimisha wasanii kuhusu kusajili kazi zao ili ziweze kutambuliwa na kupata udhibiti na ulinzi wa kazi za sanaa, kwa mujibu wa sheria.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi. Anastazia Wambura, akiwa bungeni, mjini Dodoma.

“Kuhusu haki miliki Mheshimiwa Spika, wizara yangu kupitia Bodi ya Filamu,COSOTA na BASATA zimeendelea kuwaelimisha wasanii wa fani mbalimbali kusajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani