Uefa na njama za kujitoa Fifa
NYON, USWISI
BARAZA la Vyama vya Soka Ulaya (UEFA), lipo kwenye njama za kujitoa katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na kuandaa mashindano pinzani, ikiwa ni jitihada za nguvu za kufanya mageuzi kwa kumwangusha Sepp Blatter, imeelezwa.
Njama hizo za Uefa zinatokana na rushwa ya Dola za Kimarekani milioni 100 inayoikabili Fifa, zilizolipwa kwa haki ya matangazo ya televisheni, mikataba ya udhamini na kura wa Kombe la Dunia.
Hongo hiyo inadaiwa ilitumika kufanikisha uenyeji wa fainali...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
Vigogo wa Fifa,Uefa kikaangoni
10 years ago
BBCSwahili30 May
FIFA:Blatter ailaumu UEFA na Marekani
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Greenland; ardhi ambayo Uefa, Fifa wameisaha
10 years ago
MichuziMsanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake
Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.
Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Shambulizi la kujitoa mhanga Nigeria
10 years ago
Mwananchi15 Jul
CUF yakanusha kujitoa Ukawa
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Merkel:Ni sawa Uingereza kujitoa EU
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Shambulizi la kujitoa mhanga laua 15
11 years ago
BBCSwahili10 Jan
'Afufuka baada ya kujitoa uhai'