Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uelewa juu ya Brand na Product / Huduma na tofauti zake


Makampuni yanatengeneza / toa bidhaa/huduma, wateja wanatengeneza brandiMakampuni yanatengeneza bidhaa au kutoa huduma zenye majina ambazo hununuliwa na wateja, ila brandi huja kutokana na muono, matarajio na hata uzoefu wa wateja.Mfano, bidhaa za Toyota ni magari, brandi kuu wanayotumia ni Toyota, na kwenye kila bidhaa zao huwa na brandi nyingine zinazotofautiana kulingana na mifumo yake, mfano Toyota Hiece, Toyota Prado nk, hivyo Prado ni brandi ndogo ya brandi kubwa Toyota. Toyota...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KUJENGA UELEWA JUU YA MIPANGO YA SERIKALI WAFUNGWA

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Profesa Adolf Mkenda ( wa pili kushoto ) akimkabidhi cheti Msafiri Mpendu muda mfupi mara baada ya kufunga ya siku tatu  yaliyolenga kujenga uelewa juu ya mpango wa serikali wa kushirikisha sekta binafsi kushiriki katika miradi mikubwa  kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (kushoto ) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini Godfrey Simbeye, ( wa tatu kushoto ) ni Kamishna wa PPP Frank Mhilu.Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI SITTA AZUNGUMZA NA WANAHABARI JUU YA UELEWA WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Samuel Sitta akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agness Kijazi kabla ya kuanza kwa mkutano na wanahabari,wakati akizungumzia maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani ambayo hufanyika kila ifikapo Machi 23 kila mwaka.Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta akizyngumza na wanahabari (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Machi 23 ya kila mwaka, yenye kauli mbiu...

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAPEWA ELIMU YA UELEWA JUU YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19)

 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (Wa kwanza kulia) alipokuwa akitoa elimu ya Kujengwa Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwa Watumishi hao, elimu hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.
 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akisisitiza jambo kuhusiana na elimu...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA

  Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni Mtaalamu toka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)Moreme Marwa.  Mmoja wa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA‏

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. SAMUEL SITTA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUISHAWISHI JAMII JUU YA UELEWA WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta pamoja na Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Kijazi wakijadili jambo wakati wa mkutano na wanahabariakiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani tarehe 23 Machi 2015
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta (MB) akiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 23 Machi, yenye kauli mbiu isemayo 'Uelewa wa hali ya hewa kwa maamuzi stahiki'. Pembeni ni Mkurugenzi Mkuu TMA, Dkt. Agnes...

 

9 years ago

Global Publishers

Etihad Kusambaza Boeing 787s kwa Safari Zake Tofauti Mwaka 2016‏

Etihad Airways' Boeing 787 set to fly to five further destinations in 2016Shirika la ndege la Etihad, ndege rasmi ya taifa kwa Falme za kiarabu limetangza kuanzisha mipango ya kurusha ndege aina ya boeing 787s kwa safari za kwenda Dusseldorf, Perth, Shanghai, Istanbul na Johannesburg kwa mwa mwaka 2016.

Matarajio ya kuwasili kwa ndege hizo mpya aina ya Boeing 787s ni ndani ya miezi saba ijayo, kuanzia Mei 2016, ndege hizo “Dreamliners” zenye uwezo wa kubeba abiria 299 zitaanza kutoa huduma kwenda Dusseldorf, Perth, Shanghai, Istanbul na Johannesburg kutoka Abu...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond afunguka juu ya tofauti zilizokuwa zikizungumzwa baina yake na Alikiba

Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa za mashabiki waliogawanyika na kuwashindanisha kwa niaba yao, Team Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za ‘beef’ ambayo Nasib Abdul amedai kuwa haipo. Platnumz ambaye alikuwa bado hajaamua kuzungumzia tofauti hizo ameamua kufunguka juu ya ushindani pamoja na ‘beef’ iliyokuwa inazungumzwa […]

 

10 years ago

GPL

SERIKALI ZA TANZANIA NA MALAWI ZASEMA HAZINA TOFAUTI JUU YA MPAKA WA ZIWA NYASA

Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mh. Patrick Tsere Akizungumza na waandishi wa Habari kutoka Mbeya walipotembelea Ofisi za ubalozi Nchini Malawi. Baadhi ya Waandishi wakimsikiliza Balozi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani