Ugavi unavyotafuna kodi za walalahoi, kuathiri maendeleo
Kwa miaka mingi, Serikali imekuwa ikichukua hatua tofauti kukabili hali hiyo ambayo imekuwa ikiitia hasara ya mamilioni ya fedha kila mwaka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Feb
Shein asisitiza kodi kwa maendeleo
RAIS wa Zanziari Dk Ali Mohamed Shein amewataka wafanyabiashara na wananchi wote kuendelea kulipa kodi ili kuiwezesha Serikali kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwemo kutekeleza miradi ya maendeleo na kutoa huduma bora kwa wananchi.
11 years ago
Dewji Blog03 May
Serikali yawataka wanahabari kuhamasisha umma ulipaji kodi kwa maendeleo ya taifa
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima akifungua rasmi mafunzo hayo ya siku pili kwa waandishi wa habari za kodi nchini jijini Dar es Salaam.
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
SERIKALI imewataka waandishi wa habari nchini kuelimisha Watanzania umuhimu wa kulipa kodi ikiwa ni pamoja na kuwaeleza madhara ya kukwepa kulipa kodi hiyo kwa taifa.
Hayo yamesemwa jana jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima, wakati akifungua mafunzo ya siku pili ya kodi kwa...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
VIDEO: Mhe.Saada Mkuya awataka wananchi kushirikiana na serikali katika kuchangia maendeleo ya nchi kupitia ulipaji wa kodi
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akizungumza leo Bungeni mjini Dodoma.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Benki ya Mwanga kukopesha walalahoi
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Ni kweli Lukuvi, NHC ifikirie walalahoi
10 years ago
Bongo511 Sep
Picha: Izzo B kuachia video ya ‘Walalahoi’ hivi karibuni
11 years ago
Bongo512 Jul
Video: Mashairi ya wimbo mpya wa Izzo Bizness ‘Walalahoi’
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa kutoka kwa […]
The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...