Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ugeni ulinifanya nishindwe kuchangia

Bunge la Katiba limemaliza muda wa zaidi ya mwezi mmoja huku wajumbe wake wakiwa bado hawajaanza mjadala rasmi wa Rasimu ya Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bayi: Uwindaji ulinifanya niwe mwanariadha

Alivunja rekodi ya dunia kwa dakika tatu  katika mbio za mita 1,500 kwenye Michezo ya  Madola huko New Zealand.

 

9 years ago

GPL

BEN POL: USTAA ULINIFANYA NIITWE COKE STUDIO

Mkali wa R&B nchini, Benard Paul ‘Ben Pol. MKALI wa R&B nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’ ameweka wazi sababu za kuitwa kwenye msimu mpya na wa tatu wa Coke Studio uliofanyika nchini Kenya wiki kadhaa zilizopita kuwa ustaa ulichangia kuitwa kwake. Akizungumza na Risasi Vibes, Ben Pol anayetamba na Wimbo wa Sophia alisema kuwa, hakuwa anajua kama atashiriki msimu huu mpya, lakini alishangaa kupigiwa simu na Coke...

 

10 years ago

Michuzi

Dk. Salim atembelewa na Ugeni wa Jeshi la Uchina

Waziri Mkuu Mstaafu na pia Rais wa Chama cha Mahusiano Mema kati ya Uchina na Tanzania akiwa na Kamisaa wa Siasa katika Chuo Kikuu cha Ulinzi cha Uchina (Political Commissar of the National Defense University of China) Jenerali Liu Yazhou pamoja na ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake leo Jumatatu. Jenerali Liu Yazhou amekuja nchini kwa ziara ya siku mbili.

 

10 years ago

Michuzi

PANONE FC ILIVYOPOKEA UGENI WA REAL MADRID KILIMANJARO

Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Dk Fenera Mkangara akiongoza ugeni toka klabu ya Real Madrid ulipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA.)
Baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa KIA .

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

Skimu ya Mpunga Kiroka yapata ugeni mkubwa

DSC_0576

Msimamizi wa mradi wa FAO kijiji cha Kiroka mkoani Morogoro, Ajuaye Sigalla, akitoa muhtasari wa maendeleo ya mradi FAO unaotekelezwa na wanakikundi wa Umoja wa Wakulima Kiroka (UWAKI) mbele ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi walipofanya ziara ya kugagua miradi yao ya maendeleo mkoani Morogoro.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog)

Na...

 

10 years ago

Michuzi

MMG yapata ugeni toka Push Mobile leo

Ujumbe wa Kampuni ya Push Mobile kitengo cha SimuTV  ukiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Michuzi Media Group (MMG) mara baada ya kufanya mazungumzo juu ya libeneke hilo la SimuTV.Toka kulia ni Mtendaji Mkuu wa MMG, Ankal Issa Michuzi, Mkuu wa Kitengo cha Habari MMG, Cathbert Kajuna, Meneja wa SimuTV, Patricia Michael, Meneja Uendeshaji wa Push Mobile, Jason Hill, Meneja Masoko wa SimuTV, Athanas Muhanuzi, Mkurugenzi wa Uwezeshaji wa MMG, Ahmad Michuzi pamoja na Mkuu wa Uendeshaji wa MMG,...

 

9 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)

Dec 14 2015, Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida Ikulu jijini Dar es salaa ikiwa ni pamoja na kujadili kuhusu ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi namba mbili utakaozalisha megawatts 240 za umeme na utakaogharimu Dola za kimarekani milioni 344.2. Hii ndio video kutokea Ikulu, wawezakuitazama kwa […]

The post Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)...

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI KABALE BUKOBA VIJIJINI YAPOKEA UGENI WA MRADI WA "OPPORTUNITY EDUCATION FOUNDATION" TOKA MAREKANI

Mwanafunzi wa Shuke hiyo ya Kabale iliyopo Bukoba Vijijini akimkabidhi Bw.  Joe Ricketts maua ikiwa ni ishara ya kumkaribisha mgeni huyo kutoka USA ambaye ni Mwenyekiti wa Mradi wa (Opportunity Education Foundation) kwenye shule hiyo leo hii. Bw. Joe Ricketts  kutoka USA kupitia Mradi wa (Opportunity Education Foundation)  akiingia kwenye eneo la Shule hiyo kwenye shule hiyo ya Kabale, Baada ya kupokelewa na Walimu wa Shule hiyo. Kutoka kushoto wa Pili ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bi....

 

10 years ago

Vijimambo

UGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA MAFUNZO KATIKA MAENEO MBALIMBALI JIMBO LA TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wagteni wao kutoka vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State University of New York na University of Buffalo, baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, leo kuanza ziara yao ya siku mbili katika jimbo hilo, kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya kijamii na maendeleo. Kulia ni Mkuu wa Msafara huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani