Uhalifu wa Amboni Tanga unatufunza nini?
Katika masuala ya usalama, watu wanaweza kukaa eneo moja kwa muda mrefu wakipanga kufanya matukio ya uhalifu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI KISSA PHARMACY LTD WATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI TANGA(AMBONI CAVES)
10 years ago
Mtanzania28 Mar
‘Gaidi’ wa Amboni Tanga mbaroni
NA OSCAR ASSENGA, HANDENI
JESHI la Polisi mkoani Tanga, limedai kufanikiwa kumkamata mmoja wa watuhumiwa aliyehusika kwenye tukio lenye sura ya kigaidi katika mapango ya Amboni.
Zaidi Jeshi hilo limemuhusisha mtuhumiwa huyo na tukio la uporaji silaha kwa askari waliokuwa doria eneo la barabara ya nne na tano Mtaa wa Makoko jijini Tanga, Januari 26 mwaka huu.
Takribani mwezi mmoja uliopita, tukio hilo la Amboni ambalo msingi wa kujulikana kwake ulitokana na kuporwa kwa silaha hizo,...
10 years ago
Vijimambo17 Feb
UHALIFU TANGA: Polisi: Hatujakamata mtu Tanga

Jeshi la Polisi nchini, limesema majambazi waliokuwa wamejificha katika mapango ya Amboni nje kidogo ya jiji la Tanga wamekimbia.
Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa jeshi hilo, Kamishna Paul Chagonja, akizungumza jana katika mahojiano na Radio One katika kipindi cha Kumepambazuka, alisema majambazi hao wamekimbia baada ya kuzidiwa nguvu na askari wa jeshi lake wanaoshirikiana na Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Hata hivyo, alisema vyombo...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mwandani wa: Mapango ya Amboni mkoani Tanga
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Polisi: Waliovamia Amboni, Tanga ni wahuni
Na Amina Omari na Oscar Assenga, TANGA
KAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, amesema watu waliopambana na askari polisi na wale wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) ni kikundi cha wahuni.
Harakati za mapambano baina ya polisi na wahalifu hao zilidumu kwa takribani saa 48, huku Mkuu wa Mkoa huo, Said Magalula akikiri kwamba wameshindwa kuwakamata watu hao.
Jana Ndaki aliwaambia waandishi wa habari kuwa, jeshi hilo linawashikilia watu kadhaa kutokana na tukio la majambazi kushambiliana na...
10 years ago
CloudsFM24 Feb
Watanzania watakiwa kutembelea mapango ya Amboni,Tanga
Watanzania wametakiwa kutembelea kutembelea (kutalii) kwenye mapango ya Amboni yaliyopo nje kidogo ya mji wa Tanga,kwani idadi imepungua kutokana na vyombo vya habari hasa magazeti kupotosha kuwa matukio ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni yalitokea maeneo hayo ya mapango.

10 years ago
Vijimambo
KUTOKA AMBONI TANGA POLISI YATOA TAMKOA HALI NI SHWARI



10 years ago
Mwananchi14 Feb
Taharuki yakumba Jiji la Tanga Polisi wakipambana na majambazi mapango ya Amboni
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Polisi: Uhalifu umepungua Tanga
MAKOSA dhidi ya uhalifu wa kibinadamu katika Jiji la Tanga yamepungua kwa asilimia 2.64 kwani kwa mwaka 2012 yaliripotiwa matukio 492 ukilinganisha na mwaka 2013 ambapo yalikuwa 479. Akizungumza na...