Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi kwenye bomba la Tazama waponza watatu Moro

Katibu Mkuu Tamisemi, Jumanne Sagini ametoa siku 14 kwa maofisa watatu wa Manispaa ya Morogoro kujieleza ili wasifukuzwe kazi kwa kuruhusu ujenzi kwenye eneo la bomba la mafuta la Tanzania-Zambia (Tazama).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pinda kukagua ujenzi bomba la gesi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anaanza ziara ya siku mbili kukagua ujenzi wa bomba la gesi Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.

 

11 years ago

GPL

MAJAMBAZI WATATU WAUAWA MORO VIJIJINI

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa kwa kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo baada ya kuvamia dukal a mama mmoja wa kijiji cha Kisiwa, kata ya Kiloka, wilaya ya Morogoro Vijijini. Jumla ya majambazi hao walikuwa 10 ambapo saba walifanikiwa kutokomea na watatu kutiwa nguvuni na wananchi wenye hasira kali walioamua kuwatia moto!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi bomba jipya Ruvu Chini mbioni kukamilika

UJENZI wa bomba jipya kutoka mtambo wa Ruvu Chini kwenda matenki yaliyoko Chuo cha Ardhi, Dar es Salaam unakaribia kukamilika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana...

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA POLISI MORO AKANUSHA WATU WATATU KUUAWA


Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, SACP Leonard Paul. Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, SACP Leonard Paul amekanusha kuwa habari zilizozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa watu watatu wamefariki dunia wawili kati yao wanasadikiwa kuwa ni wafuasi wa Kundi la Kigaidi la Al Shabaab katika mapigano baina yao na jeshi la Polisi si kweli na kwamba hakuna mtu aliyefariki mkoani humo. Kamanda huyo, amelaani vikali tabia ya watu...

 

9 years ago

Michuzi

BOMOBOMOA SALASALA ILI KUPISHA UJENZI WA BOMBA LA MAJI -RUVU CHINI

  Na Eleuteri Mangi-MAELEZOZoezi la kubomoa nyumba na majengo yaliyoingia ndani ya ya hifadhi ya miundombinu ya bomba la maji kutoka Ruvu Chini limeendelea mwishoni mwa wiki ili kuhakikiha kunakuwepo usalama wa bomba hilo na kuwapatia wakazi wa jiji la Dar es salaam na maeneo ya mkoa wa Pwani uhakika wa maji ifikapo Februari, 2016.  Bomo bomoa hiyo ya mwishoni mwa wiki ilihusisha maeneo ya Salasala ambapo baadhi ya nyumba, karakana na uzio vyote viljengwa ndani ya hifadhi ya miundombinu hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

shehena ya mwisho ya mabomba kwa ajili ya ujenzi wa bomba la gesi yawasili dar

 Katibu mkuu wizaraya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (Watatu kushoto), akizungumza jambo na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa (Wanne kushoto), wakati kamati hiyo ilipotembelea bandari ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kujionea kazi ya upakuaji vifaa vya ujenzi na kupokea shehena ya mwisho ya mabomba ya kupitishia gesi. Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo, Raha Mohammed (Kulia), Richard Ndasa (Wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani