Ukawa, CCM wapambana kete nne
Zikiwa zimepita takribani siku 13 tangu kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu, vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na CCM, vinachuana vikali kujinadi kwa wananchi katika ajenda nne.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Ukawa, CCM kucheza kete ya mwisho leo
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Wenje aizidi kete CCM
MBUNGE wa Nyamagana kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, amewaacha hoi viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kuwataka wasitumie kodi za...
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Kete ya Muungano imebaki mkononi mwa CCM na CUF
10 years ago
Mwananchi18 Jul
Mgombea ‘wa nne’ aivuruga Ukawa
10 years ago
Vijimambo24 Jan
Diwani aidai CCM fidia ya bilioni nne
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/bujugo-jan22-2015(1).jpg)
Diwani wa CCM kata ya Magomeni Dar es Salaam, Julian Bujugo, amekishtaki chama hicho akitaka kimlipe fidia ya Shilingi bilioni nne kwa kumsababishia hasara.
Bujugo, aliwaambia wanahabari kuwa amefungua shauri la madai na mlalamikiwa ni Jumuiya ya Wazazi ya CCM.
Alisema hatua hiyo inatokana na jumuiya hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Abdallah Bulembo, ‘kumpora’ Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole cha mjini Bagamoyo, ambacho ni mali ya jumuiya hiyo.
Hata...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-i_mouLroLug/UzEwucZuS1I/AAAAAAACdYU/BSlFzdpKjzM/s72-c/IMG_0671.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOA WA DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-i_mouLroLug/UzEwucZuS1I/AAAAAAACdYU/BSlFzdpKjzM/s1600/IMG_0671.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-I8lP1n2oQsM/UzEwlw9GFgI/AAAAAAACdX0/ihJkctbh4Pg/s1600/IMG_0631.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Sitta amzidi kete Chenge
WAKATI kitendawili cha nani atakuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kitatenguliwa Jumapili, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amemzidi ujanja Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge anayetajwa kuwania...
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Akamatwa na kete 61 za cocaine JNIA
10 years ago
Habarileo17 Dec
Chadema yazidiwa kete Mwibara
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Mwibara, ambalo mbunge wake ni Kangi Lugola hadi sasa kimeshinda jumla ya viti 26 vya serikali ya kijiji.