Ukawa: Hatutasusia Katiba
MWENYEKITI wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (UKAWA), Freeman Mbowe amesema umoja huo, hautasusia mchakato wa uundwaji wa Katiba mpya na badala yake utapigana kufa au kupona, kuhakikisha Katiba ya wananchi inapatikana.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jun
KATIBA: Dk Mwinyi awasihi Ukawa Z’bar kurejea bungeni kuitetea Katiba
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
UKAWA wakalia katiba
MATUMAINI ya kupatikana kwa katiba mpya na uwepo wa Bunge Maalum Agosti 5, yatajulikana wiki hii katika vikao vya maridhiano vitakavyofanywa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
UKAWA: Katiba basi
MCHAKATO wa katiba mpya umefikia hatua ngumu zaidi kuliko ilivyotarajiwa baada ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutangaza rasmi kutoshiriki vikao vya maridhiano na mikutano ya Bunge...
11 years ago
Daily News19 Jul
Ukawa ready for Katiba talks
Daily News
Daily News
CONSTITUENT Assembly (CA) members known as UKAWA have expressed their willingness to return to the august house to continue with the process of rewriting the new constitution. The members, however, vowed in Dar es Salaam on Friday that they ...
10 years ago
TheCitizen24 Jan
Ukawa to stay out of vote on Katiba
11 years ago
TheCitizen11 May
Ukawa may return to Katiba Assembly
11 years ago
Habarileo04 Aug
Bunge la Katiba bila Ukawa
BUNGE Maalumu la Katiba litaendelea na vikao bila kujali uwepo au kutokuwapo kwa baadhi ya wajumbe waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, ambaye ndiye Mratibu wa Bunge hilo, alitoa kauli hiyo jana wakati wa mdahalo ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa).
10 years ago
Habarileo05 Oct
Maudhui ya Katiba kuchongea Ukawa
MAUDHUI ya Katiba Inayopendekezwa kwa makundi makubwa ya Watanzania, yanatarajiwa kutumika kupambanisha kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa wananchi, Bara na Visiwani.
10 years ago
AllAfrica.Com27 Aug
Parties, UKAWA to Meet JK On New 'Katiba'
IPPmedia
AllAfrica.com
Dodoma — LEADERS of main political parties, including those from the Union of People's Constitution, UKAWA, are looking forward to meet President Jakaya Kikwete before the end of this week to discuss the progress reached on the process of rewriting the ...
Kikwete to convene meeting with political parties on CA this weekIPPmedia
all 2