Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA wakalia katiba

MATUMAINI ya kupatikana kwa katiba mpya na uwepo wa Bunge Maalum Agosti 5, yatajulikana wiki hii katika vikao vya maridhiano vitakavyofanywa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

KATIBA: Dk Mwinyi awasihi Ukawa Z’bar kurejea bungeni kuitetea Katiba

>Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amewahimiza wabunge wa kundi la Ukawa upande wa Zanzibar kurejea na kushiriki kwenye Bunge la Katiba ili kumaliza kero na malalamiko katika muundo  wa Muungano kupitia rasimu mpya na kuipa nafasi Zanzibar iweze kujiimarisha kiuchumi.

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota wa kigeni wakalia kuti kavu

Wakiwa wamebakiza miezi michache kwenye mikataba yao, baadhi ya wachezaji wa kigeni wanaocheza Ligi Kuu kuwapo kwao nchini,  kucheza soka ni bahati.

 

10 years ago

Habarileo

Wapindisha sheria Ardhi wakalia kuti kavu

Wiliam LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewatahadharisha watendaji wanaorubuniwa na watu wenye fedha ili kupindisha sheria kwa lengo la kuwadhulumu wananchi ardhi zao.

 

10 years ago

Habarileo

Wakurugenzi wakalia kaa la moto ujenzi wa maabara

Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey MwanriSERIKALI imesema itawafukuza kazi wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa Idara, ambao watashindwa kukamilisha agizo la Rais Jakaya Kikwete la kujenga maabara tatu kwa kila shule, baada ya muda wa nyongeza wa miezi sita.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi Manyara, Kiteto wakalia kuti kavu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali itafanya mabadiliko ya kiutawala katika ngazi mbalimbali Wilaya ya Kiteto na Mkoa wa Manyara wiki hii ili kuimarisha uongozi kukabiliana na mauaji ya wakulima na wafugaji yaliyosababisha vifo vya watu 17 tangu Januari 12 mwaka huu hadi sasa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA waibwaga Serikali, wabunge wakalia kuti kavu

ALIYEKUWA Mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, (EALA), kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Anthony Komu, ameibwaga Serikali kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Afrika Mashariki, (EACJ),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA: Katiba basi

MCHAKATO wa katiba mpya umefikia hatua ngumu zaidi kuliko ilivyotarajiwa baada ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutangaza rasmi kutoshiriki vikao vya maridhiano na mikutano ya Bunge...

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa: Hatutasusia Katiba

MWENYEKITI wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (UKAWA), Freeman Mbowe amesema umoja huo, hautasusia mchakato wa uundwaji wa Katiba mpya na badala yake utapigana kufa au kupona, kuhakikisha Katiba ya wananchi inapatikana.

 

10 years ago

Dewji Blog

Komu aibwaga Serikali, wabunge Afrika Mashariki wakalia kuti kavu

kas_23063-1609-2-30_90

 Na Mwandishi wetu

ALIYEKUWA Mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, (EALA), kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Anthony Komu (pichani), ameibwaga Serikali kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Afrika Mashariki, (EACJ), baada ya maombi yake mawili kukubaliwa huku moja likitupwa.

Mahakama hiyo, imesema kuwa kuwa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilikiuka kipengele cha 50 (1) cha uanzishwa wa jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye uchaguzi uliofanyika Aprili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani