Ukawa kidedea
Hatimaye amri iliyowekwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza ya kuzuia shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo imetenguliwa na Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, sasa ataagwa kwa heshima zote jijini hapa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania26 Sep
Lowassa kidedea
*Aongoza kwa asilimia 54.5
*Asema Serikali dhaifu imesababisha migogoro
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
UTAFITI mpya uliofanywa na Taasisi ya Tanzania Development Initiative (TADIP) umeonyesha mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, angeshinda kwa asilimia 54.5 kama Uchaguzi Mkuu ungefanyika ndani ya wiki tatu za Septemba mwaka huu huku mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli, angepata asilimia 40.
Matokeo ya utafiti huo yametolewa ikiwa ni siku chache baada ya wiki hii Taasisi ya...
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Hispania kidedea
10 years ago
BBCSwahili29 Oct
Chelsea yaibuka kidedea
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Oct
11 years ago
GPLYANGA WAIBUKA KIDEDEA
11 years ago
GPLGLOBAL FC WAIBUKA KIDEDEA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j9xIdemwbWo/VaU-5o4DcTI/AAAAAAAHppM/2CZaoLo2mrY/s72-c/_MG_6218.jpg)
UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-j9xIdemwbWo/VaU-5o4DcTI/AAAAAAAHppM/2CZaoLo2mrY/s640/_MG_6218.jpg)
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Simba Kidedea, yaichaya Yanga 1-0
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Lewis Hamilton aibuka kidedea