Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA KUWANUFAISHA WAKULIMA WA KOROSHO NA UFUTA MIKOA YA KUSINI

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwasili katika jimbo la Mtama katika mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Lindi ambapo katika hoyuba yake aliwaambia wananchi wa mkoa wa Lindi kuwa endapo serikali ya Ukawa itaingia madarakani itaboresha bei ya ufuta na korosho ili kuwanufaisha wakulima wa zao hilo. (Picha na Francis Dande)Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mbunge wa jimbo la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA UFUTA WILAYANI BABATI WAPEWA MASHINE ZA KUKAMUA UFUTA

Ofisa Masoko wa Shirika la Farm Africa,Rahel Pazzia (kushoto) akikabidhi mashine ya kukamua ufuta kwa wana kikundi wa wakulima wa ufuta wa kikundi cha Faraja na Chemchem kwenye Kijiji cha Vilima Vitatu, Wilaya ni Babati Mkoani Manyara jana. Wanakikundi wa Sayuni na Mti wa maziwa, ambao ni wakulima wa zao la ufuta wa Kijiji cha Ngolley Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakiwa na mashine yao ya kukamua ufuta baada ya kukabidhiwa na Ofisa Masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtwara waiacha Korosho, wafuata bei nono ya ufuta

Limekuwa ni jambo la kawaida sasa kwamba kati ya Novemba na Mei, mamia ya wakulima katika Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara huyaacha makazi yao na kwenda kuishi mkoani Lindi kwa ajili kuendesha kilimo cha ufuta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafunzo, mikopo ya NMB kuwanufaisha wakulima

KILIMO ni muhimu katika kuchangia ukuaji wa uchumi nchini. Mchango wa sekta hii katika kuongeza kasi ya ukuaji wa pato la taifa ni mkubwa kuanzia kwenye mazao. Lakini kwa kipindi...

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA UFUTA WAASWA








Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu akikagua ufuta kwenye ghala la Huru Amcos lililopo Kijiji cha Shangani kata ya Michenjele ambapo amewaasa Wakulima wa Ufuta kuzingatia ubora na kuuza ufuta wao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani.
…………………………………………………………………………………………..
~ Kuhakikisha wanauza Ufuta ghalani
 ~ Kuzingatia ubora 
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wakulima wa zao la Ufuta wameaswa kuuza Ufuta wao kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani kwa kuzingatia ubora na si vinginevyo. 
Hayo yamejiri...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa ufuta wapanua mashamba

Wakulima wa ufuta kwenye kata tano za Tarafa ya Mbugwe, wilayani Babati, mkoani Manyara, wanatarajia kunufaika na kilimo hicho msimu huu baada ya kulima na kupanda mbegu kwenye ekari 5,625 za mashamba yao.

 

10 years ago

Mtanzania

Pembejeo zakwamisha wakulima wa korosho

20Na Florence Sanawa, Mtwara
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, imetoa siku 10 kwa mfuko wa wakfu wa kuendeleza zao la korosho kuhakikisha kuwa pembejeo zinawafikia wakulima ili waweze kuwahi kupulizia dawa hizo msimu huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Shaibu Akwilombe, alisema usambazaji wa pembejeo hizo umemtia mashaka kutokana na wilaya tatu za Masasi, Mtwara Halmashauri na Tandahimba kukosa pembejeo hizo kwa wakati...

 

11 years ago

Habarileo

Watumia noti bandia kulipa wakulima wa ufuta

WAFANYABIASHARA wilayani Nachingwea mkoani Lindi wanadaiwa kutumia fedha bandia kununulia zao la ufuta.

 

11 years ago

Mwananchi

Kilimo cha ufuta chawainua wakulima Babati

“Kabla ya kujishughulisha na kilimo cha ufuta, nilikuwa na hali ngumu kiuchumi, nilikuwa nalima karanga na pamba, ila sasa nalima ufuta na nimejenga nyumba bora ya kisasa, nafuga ng’ombe, kuku na kusomesha watoto.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani