Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKIFANYA HAYA, HAUSIGELI HATAKUCHUKULIA MUMEO-2

Uhali gani msomaji wangu wa kolamu hii, nakukaribisha tena kwenye uwanja wetu tuendelee kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kujadili sababu zinazoweza kumfanya mumeo akatoka na hausigeli.
Leo tunaendelea na sababu ya tatu na mambo ya kuzingatia ili kuzuia tatizo hili. 3. KUKOSA UAMINIFU
Sababu nyingine inayosababisha wanaume kutoka na mahausigeli wao, ni kukosa uaminifu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UKIFANYA HAYA, HAUSIGELI HATAKUCHUKULIA MUMEO

Ni Jumatatu nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu murua, tukijuzana, kuelimishana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Namshukuru Jalali kwa kuniwezesha kuiona tena siku hii, naamini na wewe msomaji wangu uko poa kabisa. Mfumo wa maisha ya familia nyingi siku hizi unawalazimu wahusika kutafuta wafanyakazi wa ndani (mahausigeli) kwa ajili ya kuwasaidia kazi. Ni uamuzi mzuri kwa sababu...

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah: Ukifanya video nje huku unategemea show za ndani ni kula hasara

Kala

Kuna baadhi ya wasanii wa Bongo ambao waliwahi kusema hawana mpango wa kwenda kushoot video zao nje ya Tanzania, lakini baadae walibadili mawazo na kwenda kushoot huko.

Kala

Miongoni mwa wasanii waliobadili mawazo ni Ben Pol, ambaye hivi karibuni ameshoot video mpya Afrika Kusini na Justin Campos.

Kala Jeremiah pia aliwahi kusema hafikirii kwenda kushoot video nje, na sababu aliyoitoa ni kutokana na nyimbo zake nyingi zinazungumzia matatizo ya jamii za Kitanzania.

Bongo5 ilimtafuta Kala kutaka...

 

11 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIVYOMUUA...

Stori: MWANDISHI WETU, SINGIDA SAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee, safari hii mabosi wamegeukwa ambapo mmoja amedaiwa kuuawa na hausigeli wake aliyetajwa kwa jina la Valentina Karenge (17). Ndugu wa marehemu akiuandaa mwili kwa ajili ya kuagwa
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyakazi huyo wa ndani mkoani Singida kudaiwa kumuuua tajiri yake kwa kumchoma kisu...

 

9 years ago

GPL

HAUSIGELI AJINYONGA!

Dustan Shekidele, Moro Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’ mmoja mkoani hapa aliyefahamika kwa jina moja la Rehema (16) ambaye alifanya kazi hiyo kwa wiki moja, akimshikia mwenzake aliyekwenda kijijini kwao lfakara wilayani Kilombero kumuuguza mama yake, amejifungia chumbani kisha kujinyonga kwa kutumia kanga....Soma zaidi===>http://goo.gl/CN1Ati ...

 

10 years ago

Habarileo

'Hausigeli' aiba milioni 2.6/-

MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI NUSURA AUAWE

Makongoro Oging’ na Shani Ramadhan
Msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli), Rehema Ally (17), mkazi wa Yombo, Machimbo Mwisho, Ilala jijini Dar, amechanwachanwa kwa wembe na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya Amana kwa matibabu. Rehema Ally akiwa na majeraha mwilini mwake baada ya kujeruhiwa. Akizungumza na Uwazi nyumbani kwa mwajiri wake aliyejulikana kwa jina moja la...

 

11 years ago

GPL

HAUSIGELI ATOBOA SIRI

Stori: Haruni Sanchawa
NYUMAya pazia! Yule msichana Yusta Lucas (20) mwenyeji wa Mkoa wa Tabora ambaye alifika jijini Dar kufanya kazi ya u-hausigeli na kufanyiwa ukatili wa kutisha na bosi wake kisha habari zake kuandikwa, ametoa siri nzito, Uwazi limemegewa. Yusta Lucas akionyesha majeraha ya meno aliyong'atwa na bosi yake. Akizungumza kwa uchungu na gazeti hili akiwa wodini kwenye Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Kinondoni,...

 

10 years ago

GPL

SHAROBARO, HAUSIGELI LIVE

Issa Mnally na Richard Bukos
KIJANA mmoja mtanashati, aliyefahamika kwa jina la Faraja Adam mkazi wa Makongo jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alinusurika kipigo kutoka kwa wakazi wa Mabibo Jeshini baada ya kukutwa sebuleni kwa mpangaji wa nyumba moja aliyefahamika kwa jina la Rhobi Chacha. Majirani wa mpangaji huyo waliliambia gazeti hili kwamba walimuona kijana huyo akiambaaambaaa na ukuta wa nyumba hiyo kisha kuingia ndani...

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ASAKWA WIZI WA MTOTO

Stori: Shomari Binda, Mara/UWAZI
MFANYAKAZI wa ndani anayefahamika kwa jina la Paulina Sobe anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mtoto wa bosi wake, Diana Meshack, mwenye umri wa miaka miwili, huko Musoma mkoani Mara, tukio lililotokea Januari 3 mwaka huu. RPC Mara akiwa na mtoto aliyeibiwa(kushoto) ni mama wa mtoto huyo. Kamanda wa Jeshi hilo mkoani Mara, ACP Philip Kalangi, aliliambia gazeti hili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani