Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukimwi kwa vichanga; changamoto kubwa kwa jamii

>Ni mapema asubuhi katika kibaraza cha Hospitali ya Wilaya ya Tanga iliyoko Ngamiani, makumi ya kinamama wajawazito wameanza kuchukua nafasi katika benchi la kuingia katika chumba cha ushauri nasaha na upimaji wa virusi vya Ukimwi (VVU) kabla ya kuendelea na huduma nyingine za uzazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

11 years ago

Michuzi

news alert: watano wapanda kizimbani kwa mashtaka ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam pia ni Mkurugenzi Mkuu Kiwanda cha Kutengeza Dawa (TPI Ltd) Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka matano ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi na kuisababishia Bohari Kuu ya Dawa (MSD)hasara ya zaidi ya Sh.milioni 148.3.   Mbali na Madabida washtakiwa wengine ni, Meneja Uendeshaji Seif Shamte, aliyekuwa...

 

5 years ago

Michuzi

KUNDI LA SIMBA JAMII TANZANIA LAZIDI KUTOA MISAADA KWA JAMII

Leo tarehe 05 April,2020 kundi maarufu la Simba Jamii Tanzania limekabidhi sehemu ya misaada ya viti vya walemavu (wheelchairs) kwa mwanafunzi mlemavu Lucy Furaha Kajuni wa shule ya Msingi Nzovwe iliyopo mkoani Mbeya.

Msaada huo ulitolewa mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo Ndg Happy Bakamba pamoja na maafisa kadhaa wa Kata.

Simba Jamii iliwakilishwa na wanachama wake Ndg Jacob Madege,Ndg Mwakalilila,Ndg Anangisye na Ndg Maureen.

Mkuu wa msafara wa Simba Jamii Ndg Maureen amedai kuwa...

 

10 years ago

GPL

RADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUT

Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku akiongea machache…

 

10 years ago

Dewji Blog

Redio za jamii zashukuru kwa kupokea Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti

Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

 Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku akiongea machache kabla ya kuwagawia wasimamizi wa redio za jamii wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bi. Zulmira Rodrigues, akiwagawia wasimamizi wa redio za jamii katiba iliyopendekezwa iliwekwa...

 

10 years ago

Michuzi

RADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI

Wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa Radio za jamii wamethibitisha kupokea na kuanza kurusha Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti, makala na michezo ya radio iliyoandaliwa na Kampuni ya Focus Media na COMNETA zenye maudhui ya katiba inayopendekezwa.

Wakizungumza na Focus Media ambao ndio waandaaji na wasambazaji wamekiri kwamba wamepokea kwa wakati muafaka, kwani hawakuwa na chanzo sahihi cha kupata maudhui yanayohusu elimu ya uraia na uchaguzi mkuu na kura ya maoni.

Baadhi ya wasimamizi...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA

Habari na picha na Editha Karlo, wa Globu ya Jamii Kigoma

MTU mmoja ambaye ni raia kutoka nchi ya Burundi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kigoma  kwa ugonjwa usiojulikana. 
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni  kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nchi pekee duniani kwa hivi sasa ambayo kuokota makopo imegeuka ni ajira kubwa sana kwa vijana ni Tanzania.

Siku za hivi karibuni hapa nchini Tanzania ,vijana wengi mitaani wamekuwa wakijipatia kipato chao cha mkate wao wa kila siku kupitia kazi ya kuokota makopo yaliyotupwa na watumiaji ambayo awali yalikuwa na vinywaji aina tofauti tofauti,vijana […]

The post Nchi pekee duniani kwa hivi sasa ambayo kuokota makopo imegeuka ni ajira kubwa sana kwa vijana ni Tanzania. appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani