Ukimwi:WHO imetoa muongozo mpya wa matibabu
Mwongozo huu mpya unatokana na ushahidi unaoonyesha kuwa watu walio na HIV wanaoanza kutibiwa mara moja huishi kwa muda mrefu zaidi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Katiba Mpya imetoa mwelekeo mbaya wa nchi
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
Dawa mpya ya ukimwi yakosolewa
11 years ago
Habarileo23 Jan
Mama Salma azindua mwongozo mpya wa Ukimwi
MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amezindua rasmi mwongozo mpya wa Kuzuia maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT option B+) katika Mkoa wa Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Wanasayansi wabaini njia mpya ya kutibu Ukimwi
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Sababu 10 zinazotia moyo dawa mpya ya Ukimwi
10 years ago
Dewji Blog25 May
Upasuaji wenye madhara madogo, hatua mpya kwa matibabu ya magonjwa ya mishipa ya Moyo
Ugonjwa wa mishipa ya moyo (CAD) ni aina ya ugonjwa wa moyo unaowakumba wengi, huongoza kusababisha vifo kwa wengi ikiwemo wanawake na wanaume. Ugonjwa hutokea wakati mishipa ya ateri inayosambaza damu kwenye misuli ya moyo inapokakamaa na kuwa nyembamba. Hii ni kwa sababu ya kujengeka kwa kolesteroli na vitu vingine kama utando kwenye kuta za ndani ya moyo. Kujijenga huku kisayansi hujulikana kama ‘atherosclerosis’. Kujengeka kwake kunapoongezeka kunapunguza mtiririko wa damu kwenye atiri,...
9 years ago
Habarileo25 Nov
Muongozo elimu bure waandaliwa
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, amesema wizara yake inaandaa mwongozo utakaotoa maelekezo juu ya muundo, mfumo na utaratibu nyumbufu utakaohakikisha kuwa ifikapo Januari mwakani, elimu ya msingi inatolewa bila malipo.
10 years ago
Habarileo26 Sep
Muongozo wa tiba selimundu watolewa
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Tiba cha Muhimbili(MUHAS) wamezindua mwongozo wa matibabu kwa ajili ya utoaji wa huduma za ugonjwa wa selimundu utakaotumika katika hospitali zote nchini.
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Muongozo wa uchaguzi nchini Uingereza