ukistaajabu ya Musa?
mimba na ndoa za utotoni ni tatizo Ivory Coast .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKAMISHNA WA POLISI JAMII NCHINI ,CP MUSA ALI MUSA AFANYA ZIARA WILAYA YA SAME
11 years ago
MichuziKAMISHNA WA POLISI JAMII NCHINI,MUSA ALI MUSA AFANYA ZIARA WILAYA YA MWANGA
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Ukistaajabu ya Nkamia utaona ya Mwigulu
NIMEJITAHIDI kadiri ya uwezo wangu kujizuia nisijadili kabisa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete, lakini nimeshindwa. Nasema nimeshindwa kutokana na jina la Juma Nkamia,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ib5MUdXIrj4/XtneXcz3nKI/AAAAAAALsqo/_lmz80ivbR4y3SyRkYAqaBjYzH7nWcPRQCLcBGAsYHQ/s72-c/BTyyhi0jqFA.jpg)
UKISTAAJABU YA WASANII UTAKUTANA NA YA WANASIASA
Charles James, Michuzi TV
UNAFIKI! Ndiyo. Kwanini nisiuite unafiki ilihali jana walipendana na kuliana yamini kwamba hawatogombana wala kuachana lakini sasa kutwa kurushiana maneno kwenye Televisheni baada ya kugombana.
Wapo wale ambao jana waliitana wanafiki, wazandiki. Mwingine akasema fulani anakwamisha michongo yangu, ila leo wanaenda wote Kidimbwi kula bata. Unafiki.
Siyo siasa, maisha ya kawaida wala mapenzi. Kote huko ni maeneo yenye kuonesha unafiki wetu sisi binadamu. Wanafiki wenye...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Ukistaajabu ya Kikwete utaona ya Sitta
BAADA ya kumdhalilisha, kumvizia na kumhujumu Jaji Joseph Warioba, na tume yake, wengi tulidhani Chama Cha Mapinduzi (CCM), lau, kingeona aibu na kuona inatosha. Lakini wapi! Wameonja asali sasa wanataka...
10 years ago
Bongo Movies23 Mar
Mtazamo:Ukistaajabu ya Kajala na Wema, utayaona ya Wastara na Wolper
Kweli nimeamini samaki mmoja akioza wote huoza, hadi wewe wastara? Hukumbuki wolper alivyohangaika na marehemu mume wako? Dada wa watu akajitolea mamilion ili mume wako akatibiwe India? Umesahau wema wote hadi ukalia nachozi na kumuona wolper ni Mungu mtu?
Pesa tu ndio zinakutoa utu na kukufanya uumize moyo wa mwanamke mwenzio aliyejitolea wakati una shida ili aokoe maisha ya mume wako kipenzi japokuwa haikuwezekana (Mungu ailaze roho ya marehemu peponi ), inasikitisha na kuumiza sana, kuna...
11 years ago
Michuzi25 May
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Ukishangaa ya Musa utayaona ya CCM
JANUARI 16 mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, alitangaza mabadiliko aliyofanya katika Baraza la Mawaziri. Hii ni mara ya tano tangu aingie madarakani. Mara...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75857000/jpg/_75857110_musa.jpg)
Musa revels in Nigerian goals record