UKISTAAJABU YA WASANII UTAKUTANA NA YA WANASIASA

Charles James, Michuzi TV
UNAFIKI! Ndiyo. Kwanini nisiuite unafiki ilihali jana walipendana na kuliana yamini kwamba hawatogombana wala kuachana lakini sasa kutwa kurushiana maneno kwenye Televisheni baada ya kugombana.
Wapo wale ambao jana waliitana wanafiki, wazandiki. Mwingine akasema fulani anakwamisha michongo yangu, ila leo wanaenda wote Kidimbwi kula bata. Unafiki.
Siyo siasa, maisha ya kawaida wala mapenzi. Kote huko ni maeneo yenye kuonesha unafiki wetu sisi binadamu. Wanafiki wenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Nay wa Mitego: Wasanii tusiwe wanasiasa
NA ESTHER MNYIKA
MSANII wa muziki wa hip hop nchini, Emanuel Eribarik ‘Ney wa Mitego’ amewataka wasanii wenzake wawe wahamasishaji wa wananchi ili kujitokeza na kupiga kura Oktoba 25, badala ya wao kugeuka kama wanasiasa wanaogombea katika siasa.
Ney wa Mitego aliandika katika ukurasa wake wa ‘Instagram’ kwamba wasanii wamejisahau, wamekuwa wanasiasa na wagombea, jambo litakalokuja kuwagharimu baada ya uchaguzi huo.
“Wasanii tubaki kuwa wahamasishaji tu, kuanza kukashifu viongozi utadhani...
10 years ago
Bongo Movies04 Oct
Riyama Awaasa Wasanii Wanaotumika Kutetea Matumbo ya Wanasiasa, Wakati…
Habari wapendwa wangu Leo naomba kuongea na wewe MTANZANIA mwenzangu rafiki yangu unae Like na ku comment katika ukurasa wangu (kwenye mtandao wa Instagram) naamini wewe ndio balozi wangu utake nifikishia ujumbe wangu Kwa jamii inayo tuzunguka.
Ndugu zangu kupiga kura ni haki ya kila MTANZANIA hivo shime tujitokeze kwa wingi kwa wale umri unao tu ruhusu kupiga kura angalizo usikubali kushurutishwa na mtu wa aina yeyote yule kwa kumchagua kiongozi anae mtaka yeye kwa maslahi yake, bali...
11 years ago
GPL
BARUA NZITO: UKIMSHANGAA SNURA UTAKUTANA NA SHILOLE!
11 years ago
BBCSwahili30 Oct
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Ukistaajabu ya Nkamia utaona ya Mwigulu
NIMEJITAHIDI kadiri ya uwezo wangu kujizuia nisijadili kabisa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete, lakini nimeshindwa. Nasema nimeshindwa kutokana na jina la Juma Nkamia,...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Ukistaajabu ya Kikwete utaona ya Sitta
BAADA ya kumdhalilisha, kumvizia na kumhujumu Jaji Joseph Warioba, na tume yake, wengi tulidhani Chama Cha Mapinduzi (CCM), lau, kingeona aibu na kuona inatosha. Lakini wapi! Wameonja asali sasa wanataka...
10 years ago
Vijimambo
UKIFIKA MITAA YA KINONDONI BLOK 41 NYUMA YA JENGO LA AIRTEL UTAKUTANA NA HII VITU VYA KHADIJA LIVE.

10 years ago
Bongo Movies23 Mar
Mtazamo:Ukistaajabu ya Kajala na Wema, utayaona ya Wastara na Wolper
Kweli nimeamini samaki mmoja akioza wote huoza, hadi wewe wastara? Hukumbuki wolper alivyohangaika na marehemu mume wako? Dada wa watu akajitolea mamilion ili mume wako akatibiwe India? Umesahau wema wote hadi ukalia nachozi na kumuona wolper ni Mungu mtu?
Pesa tu ndio zinakutoa utu na kukufanya uumize moyo wa mwanamke mwenzio aliyejitolea wakati una shida ili aokoe maisha ya mume wako kipenzi japokuwa haikuwezekana (Mungu ailaze roho ya marehemu peponi ), inasikitisha na kuumiza sana, kuna...
11 years ago
Michuzi25 May