Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukosefu wa elimu ya udhibiti yachangia ajali za barabarani

Ukosefu wa elimu juu ya makosa ya kibinadamu kwa madereva wa mabasi ya abiria umebainika kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa ajali za barabarani nchini.

Kutokana na hali hiyo, mamlaka ya udhibiti usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA imeanzisha mfumo wa kutoa elimu ikiwa ni njia mbadala ya kudhibiti ajali hizo.

 

Madereva wengi wameitika mwito wa kupatiwa elimu katika semina maalumu ya kutegua kitendawili cha ajali nchini.

Shabani Wandibha ambaye ni makamu mwenyekiti wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Elimu yapunguza ajali barabarani

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema ajali za barabara zimepungua hadi 7,570 kwa kipindi cha Januari hadi Novemba mwaka huu ikilinganishwa na ajali 13,466 zilizotokea kwa kipindi kama hicho mwaka jana.

 

11 years ago

Habarileo

SATF yachangia miradi ya elimu FPCT mil 11.7/-

JUMLA ya Sh milioni 11.7 zimetolewa na Shirika lisilo la kiserikali la Social Action Trust Fund (SATF) kwa asasi ya Free Pentecoste Church of Tanzania (FPCT) kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya elimu.

 

10 years ago

StarTV

Elimu ulipaji kodi yachangia migomo wafanyabiashara.

Na Zephania Renatus,

Kilimanjaro.

 

Ukosefu wa elimu juu ya sheria ya ulipaji kodi kwa wafanyabiashara ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha migomo ya mara kwa mara ya wafanyabiashara katika maeneo mbalimbali nchini.

 

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amesema hayo mjini Moshi katika mkutano na wafanyabiashara na uongozi wa Mamlaka ya Mapato TRA mkoani humo uliolenga kujadili kero mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara.

 

Miongoni mwa changamoto zinazowakabili...

 

9 years ago

StarTV

Ukosefu wa elimu ya usafiri wa anga wachangia malalamiko kwa wateja.

Kukosekana kwa elimu juu ya dhana ya usafiri wa anga kwa bei nafuu inatajwa kuwa sababu ya malalamiko ya watumiaji wa usafiri huo kutokana na malipo yanayoongezeka tofauti na gharama ya tiketi husika.

Hayo yamebainishwa katika warsha iliyoandaliwa na baraza la ushauri la watumiaji wa huduma ya usafiri wa anga Tanzania TCAACCC jijini Mwanza ambapo wadau mbalimbali wa sekta hiyo wamehudhuria.

Kutokueleweka kwa biashara ya usafiri wa anga kwa bei nafuu imekuwa chanzo cha malalamiko kutoka kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI


Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini. 
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...

 

10 years ago

Michuzi

SHAIRI: Ajali za barabarani

Ajali za barabarani!
Ninalianza shairi, kwa majonzi ya dhahiri,Kwa kuwa tena si siri, ajali zimekithiri,Zaua kwa utitiri, hii sasa ni hatari,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Nianze na madereva, kisha nimvae Kova,Unapokua dereva, tunahisi umeiva,Si mambo ya kujilevya, na kuua kina Eva,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Umakini safarini, ndio nyenzo namba wani,Sheria barabarani, zifuate kwa makini,Sifa za vibarazani, hazina tija jamani!,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Bosi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali za barabarani zapungua 2013

IDADI ya ajali za barabarani na vifo, imepungua kutoka watu 157 mwaka 2012 hadi watu 123 mwaka jana mkoani hapa. Kwa mujibu wa takwimu za Jeshi la Polisi Mkoa wa...

 

11 years ago

Habarileo

Ajali barabarani yaua wanafunzi 5

SIKU tatu baada ya kutokea ajali mkoani Lindi na Singida zilizogharimu maisha ya Watanzania 27, wakazi wa Mtwara nao wameingia katika majonzi baada ya gari dogo kupamia wanafunzi wa Sekondari ya Mustafa Sabodo, waliokuwa kwenye mchakamchaka na kuua watano.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani