Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umaarufu wa Tungo za Nashid

Tungo za Nashid, maarufu kwa waumini wa dini ya kiislamu zimekuwa na mvuto mkubwa katika mataifa ya bara Asia na nchi za magharibi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utata wa tungo na namna ya kuuepuka

Tungo tata ni zile ambazo huwa na maana zaidi ya moja ndani yake. Utata katika tungo za Kiswahili hujitokeza zaidi katika maandishi kuliko kwenye lugha ya mazungumzo.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

GPL

JB PAMOJA NA KUPATA FEDHA, UMAARUFU WAMTESA

MAISHA ni safari ndefu iliyojaa kila aina ya hali. Imejaa milima na miinuko mikali, mabonde, miiba, dhoruba na tufani kali. Hakika ni watu waliodhamiria tu kutafuta mafanikio ndiyo huweza kuhimili vishindo na misukosuko ya safari ya kutafuta mafanikio maishani. Kila aliyefanikiwa kwa njia halali, nyuma amepitia mapito mengi magumu na makali mno. Upo msemo ambao binafsi kila nikiukumbuka, morari na nguvu ya kutafuta mafanikio...

 

10 years ago

Mtanzania

Upendo Nkone: Umaarufu ni shida, mateso

nkoneeNA RHOBI CHACHA
MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, amesema umaarufu kwa wasanii ni mateso kwa kuwa humjengea woga msanii kufanya jambo lolote popote hata kama moyo wake unapenda.
Upendo alieleza kwamba, msanii maarufu anapofanya jambo tofauti jamii humchukulia tofauti hali inayofanya ashindwe ama afikie mafanikio kwa mateso makubwa ya kutafuta kimya kimya.
“Umaarufu kwa msanii ni mzuri lakini ni mateso, uzuri ni kwa kuwa unarahisisha kazi zako lakini ni mateso kwa namna...

 

10 years ago

Mtanzania

Flora Mvungi: Umaarufu umenifikisha klabu

NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo nchini, Flora Mvungi, ameweka wazi kwamba hasingefika kwenye kumbi za starehe kama asingekuwa maarufu.
Flora alisema kutokana na umaarufu wake alioupata kupitia sanaa ya uigizaji, alijikuta akilazimika kuzijua klabu za usiku tofauti na alivyokuwa akidhani kwamba angeweza kuwa maarufu bila kufika katika klabu hizo.
‘Nashukuru ustaa umenisaidia, kwani bila ya hivyo ningekuwa mama wa nyumbani ama kazi nyingine, lakini fani niliyoichagua imeniwezesha...

 

9 years ago

Bongo5

Jokate asema wasanii wanaponzwa na umaarufu

Mwanamitindo na muimbaji, Jokate Mwegelo amewataka wasanii kutumia umaarufu wao vizuri ili wapewe ushirikiano na kila mtu katika kazi zao. Jokate amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa wasanii wengi wanavimba kichwa baada ya kupata umaarufu hali inayopelekea mwisho wao kuwa mbaya. “Unajua ukiwa maarufu kila mtu akawa anaimba nyimbo yako, ni rahisi […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Karafuu ya Zanzibar yazidi kupata umaarufu

MSHAURI wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar, Sadruddin Govinji, amesema karafuu ya Zanzibar imeendelea kupata umaarufu katika soko la Dunia kutokana na sifa zake za kipekee zenye ubora. Akiwasilisha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wema: Umaarufu hauna faida kwake

Dk. Damas Ndumbaru MWANADADA anayetamba katika tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu amesema kuwa kila kukicha yeye anafikiria jinsi ya kupata mafanikio makubwa zaidi kushinda aliyonayo sasa kwani umarufu kwake...

 

10 years ago

GPL

WASTARA: WASANII TUNA UMAARUFU MAANDAZI

TEHETEHE! Muuza sura wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amesema yupo kwenye mikakati mizito ya kufanya mapinduzi kwenye tasnia ya filamu na kutambulika kimataifa na ndiyo sababu ya kuanzisha Timu Wastara. Muuza sura wa sinema za Kibongo, Wastara Juma. Akipiga stori na paparazi wetu, Wastara ambaye aliitendea haki sinema ya Shaymaa, alisema soko la filamu Bongo bado lipo chini sana kwani wasanii wengi wanajivunia kwa kujulikana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani