Umeme wa makontena wanufaisha nyumba 840
MRADI wa majaribio wa umeme unaotokana na nishati ya jua unaozalishwa na kusambazwa kwenye makontena maalumu yajulikanayo kama PV Generators, umenufaisha nyumba 840 katika wilaya za Kongwa, Uyui na Mlele.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3r6pqfzid3E/XveOzwX3bII/AAAAAAALvsE/a3TkVt6LXZICyiz-V0g-LSULiwGtEXwMACLcBGAsYHQ/s72-c/2-2-2.jpg)
DKT KALEMANI AFANYA ZIARA YA NYUMBA KWA NYUMBA KUKAGUA KAZI YA USAMBAZAJI UMEME VIJIJINI WILAYANI MISUNGWI Inbox x
![](https://1.bp.blogspot.com/-3r6pqfzid3E/XveOzwX3bII/AAAAAAALvsE/a3TkVt6LXZICyiz-V0g-LSULiwGtEXwMACLcBGAsYHQ/s640/2-2-2.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/3AAA-4-1024x576.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/4AAA-3.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Tambo za umeme kwenye nyumba za makuti
MAKALA yangu ya Jumatano wiki jana, iliyozungumzia malalamiko kuhusu uteuzi wa baadhi ya wanasiasa wa CCM kuwa mawaziri, ilipokelewa kwa namna tofauti. Wengi zaidi ya asilimia 90 walipongeza nilichokiandika. Watatu...
9 years ago
StarTV03 Dec
Zaidi ya nyumba 300 zakatiwa umeme Kinondoni
Shirika la Umeme Tanesco mkoa wa Kinondoni Kaskazini umezikatia umeme nyumba zaidi ya mia tatu zilizobainika kuhujumu miundombinu kwa kujiungia umeme kinyume cha sheria ili waweze kutumia umeme bila malipo yoyote.
Operation hiyo ambayo imeanza tangu mwaka 2011 imelenga kukomesha vitendo vya uhujumu miundombinu ya umeme ili kuwawezesha wananchi kunufaika na rasilimali hiyo kwa maendeleo yao..
Wakaguzi hao wakiwa katika mtaa Oyerstabay kata Msasani barabara ya Mkadini nyumba Prot no; 63...
11 years ago
GPLNGUZO YA UMEME YADONDOKEA NYUMBA MKWAJUNI KINONDONI
10 years ago
Habarileo16 Feb
Nyumba zaidi ya milioni moja kupatiwa umeme jua
TANZANIA imeingia katika mpango wa kutumia umeme jua ujulikanao kama One Milion Solar Homes, wenye lengo la kuzipatia nyumba milioni moja huduma ya umeme wa uhakika na salama kufikia 2017.
10 years ago
GPLKAMPUNI YA OFF GRID ELETRIC KUFUNGA UMEME WA SOLA NYUMBA MILIONI MOJA NCHINI
11 years ago
Habarileo03 May
Mradi wanufaisha maelfu ya wasichana Mtwara
WASICHANA wa mkoani Mtwara wamefaidika na elimu ya afya na vifaa, vitakavyowasaidia kujisitiri wakati wa hedhi. Elimu hii na msaada vimetolewa kupitia mradi wa Hakuna Wasichoweza, unaotekelezwa na asasi ya T-MARC Tanzania.
11 years ago
Habarileo07 Jun
Mradi wa kinga ya afya wanufaisha Nachingwea
VIJIJI 21 katika wilaya za Nachingwea na Masasi vimepatiwa dawa, pembejeo za kilimo na mifugo ya mbuzi na ng’ombe wa maziwa na kuchimba visima vya maji vifupi na virefu, kupitia mradi wa kinga ya afya na uhakika wa chakula.
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Mpango wa NHIF wanufaisha wananchi 4,200
WATANZANIA 4,200 kutoka mikoa mitano nchini wamenufaika na mpango wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa kupeleka madaktari bingwa mikoani. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam...