Umoja wa Mataifa wapinga vita Ukraine
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limezitaka pande zinazohusika na vita nchini Ukraine kuacha mara moja
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili16 May
Ukraine:Umoja wa Mataifa kutoa ripoti
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Urusi:hatutaki vita na Ukraine
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Urusi yaingilia kati vita ya Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Kusitishwa vita kwaleta nafuu Ukraine
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Jeshi la Ukraine laondoka mji wa vita
10 years ago
Mtanzania19 Feb
Vita yaathiri huduma za afya Ukraine
Na Joseph Hiza na Mashirika ya Habari
PANDE mbili zinazopingana katika mgogoro wa mashariki mwa Ukraine zilifikia makubaliano wiki iliyopita, hatua ambayo imeleta utulivu kufuatia kusimama kwa mapigano katika sehemu kubwa ya eneo hilo.
Kusitishwa kwa mapigano kunatarajia kuleta ahueni ya kukabiliana na changamoto kubwa ya kiafya eneo hilo ambalo lilikuwa halifikiki kwa wafanyakazi wa misaada.
Hata hivyo, katika mji wa Debaltseve uliozingirwa na waasi wanaoungwa mkono na Urusi matukio...
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Machafuko Ukraine yatazusha vita:Putin
10 years ago
StarTV24 Feb
Putin: Machafuko Ukraine yatazusha vita.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema machafuko Mashariki mwa Ukraine yanaleta wasiwasi wa kuweza kuzuka kwa vita na mwendelezo wa mzozo.
Akizungumza kupitia televisheni Putin amesisitiza kuzingatiwa kwa mpango wa Amani ya mashariki mwa Ukraine uliojadiliwa Minsk na kupitishwa na baraza la usalama la umoja wa mataifa
Hata hivyo kwa mara nyingine Rais Putin amekanusha madai ya majeshi yake kushiriki katika mzozo.
use of cialis pillsKiongozi huyo pia ameyaraja mataifa ya Urusi,...
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Mda wa kusitisha vita waongezwa Ukraine