UMOJA WA WATANZANIA WALIOSOMA NCHINI AUSTRALIA WAZINDULIWA RASMI
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera Bw.Mathias Kabunduguru (aliyesimama) aliyemuwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Watanzania waliosoma nchini Australia (TAAA) jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Watanzania waliosoma nchini Australia wakimsikiliza mgeni rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera Bw.Mathias Kabunduguru (kushoto) aliyemuwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi Mh. Celina O....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUMOJA WA WANAFUNZI WALIOSOMA ST.JOSEPH WAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Wakizungumza nyakati tofauti wanafunzi waliosoma hapo wamewataka wanafunzi kufuata nyayo zao kutokana na shule hiyo kuwa na historia nzuri ambayo hadi sasa haijaweza kufutika.
Wamesema kuwa umoja huo utakuwa imara katika kusaidia shule hiyo katika masuala mbalimbali ikiwemo na kusaidia jamii kutokana na...
10 years ago
Vijimambo
JK AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA RASMI YA KISERIKALI NCHINI AUSTRALIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa Jumamosi Agosti 1, 2015 akitokea Australia alikozuru kwa mwaliko rasmi wa Kiserikali kutoka kwa Gavana Mkuu wa nchi hiyo Mheshimiwa Peter Cosgrove.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi katika uwanja wa ndege wa...
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Rais Kikwete arejea nyumbani baada ya ziara rasmi ya kiserikali nchini Australia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa Jumamosi Agosti 1, 2015 mara baada ya kurejea kutoka Australia kwa mwaliko rasmi wa Kiserikali kutoka kwa Gavana Mkuu wa nchi hiyo Mheshimiwa Peter Cosgrove.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege...
11 years ago
Michuzi.jpg)
JUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KOICA/KAAT) YAPATA UONGOZI MPYA
10 years ago
Michuzi.jpg)
Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU e.V) kuwasili nchini leo
.jpg)
Akiwa nchini atafanya mazungumzo na uongozi wa taasisi mbali mbali zikiwepo TIC, Basata, Wizara ya Ardhi,Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo pamoja na mashirika ya NSSF, NHC, Tanzania Diaspora Initiative.
Mazungumzo hayo yatalenga upatikanaji wa Fursa zilizopo Tanzania kwa Diaspora....
11 years ago
MichuziUONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KAAT) YAFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR
10 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
MSIMU WA KTMA 2015 WAZINDULIWA RASMI
10 years ago
GPLUUZAJI HISA BENKI YA WALIMU WAZINDULIWA RASMI