Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN WAHAMASISHA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA JANGWANI KUTEKELEZA AJENDA ZA UMOJA WA MATAIFA

DSC_0132Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa Bi. Usia Nkhoma Ledama, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani akiwa ameambatana na maafisa wenzake wa mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwa ni shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 69 toka Umoja wa Mataifa unazishwe. Kushoto kwa Bi Ledama ni Albert Okal (ILO).
Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 69 toka Umoja wa Mataifa uanzishwe zimeanza nchini, na leo jumatano maofisa waandamizi wa UN walitembelea shule ya sekondari ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Maofisa wa UN wahamasisha wanafunzi wa Jangwani kutekeleza ajenda za Umoja wa Mataifa

DSC_0132

Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa Bi. Usia Nkhoma Ledama, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani akiwa ameambatana na maafisa wenzake wa mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwa ni shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 69 toka Umoja wa Mataifa unazishwe. Kushoto kwa Bi Ledama ni Albert Okal (ILO).

Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 69 toka Umoja wa Mataifa uanzishwe zimeanza nchini, na leo jumatano  maofisa waandamizi wa UN walitembelea shule ya sekondari ya...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YATAKA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA KUTEKELEZA KWA VITENDO DHANA YA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi ( picha ya Maktaba) ametoa wito kwa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Ofisi zake kutekeleza kwa vitendo dhana ya uwazi na uwajibikani kama yanavyozishikiza Nchi Wanachama, kwa kile alichosema, utekelezaji wa dhana hiyo haupashwi kuwa jukumu la Serikali peke yake. Ametoa wito huo wakati wa majadiliano ya Ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu iliyowasilishwa siku ya jumatatu mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa...

 

11 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa Mataifa kuboresha vyoo vya Shule 10 Kilimanjaro

IMG_4176

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana  na walimu  mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule hiyo. Kulia kwake ni Afisa Tawala Mkuu katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Omari Msuya. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

Na Mwandishi Wetu, Moshi

MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa nchini,...

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MANZESE WATEMBELEA GLOBAL

Mhariri Mtendaji Richard Manyota (kulia) wa Global Publishers akifafanua jambo mbele ya wanafunzi hao. Wanafunzi hao wakitunza kumbukumbu za maelezo muhimu.…

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI KIBOSHO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wanafunzi wa shule ya sekondari Kibosho

PG4A4849

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4869

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA LA VERNE WAPEWA SOMO KUHUSU USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA

Bw. Noel Kaganda, Afisa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York; na Bw. Suleiman Saleh, Afisa katika Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Washington D.C wakiwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha La Verne cha California waliotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington D.C. kujifunza namna Tanzania inavyoshiriki katika Umoja wa Mataifa. Wanafunzi hao walipeperusha bendera ya Tanzania katika National Model United Nations...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Membe atoa somo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ambapo wanafunzi hao walipata nafasi ya kumuuliza maswali na kuyajibu kabla hajafungua maabara ya sayansi na maktaba na mahafali ya tano ya kidato cha sita ya shule hiyo. Wengine wanaoonekana ni wageni alioambatana nao na walimu wa Tusiime.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Akisikiliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani