Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unachotakiwa kufanya ili uwe na ndoa yenye amani-2

Kama unaingia kwenye ndoa kwa sababu ya kumkera fulani, fahamu kwamba hilo ni kosa na linasababisha wakati fulani watu kujuta kwanini amekutana na fulani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Je umeweza kuchunguza njia ya kufanya na kwenda ili uwe Mjasiriamali?

Una wazo zuri au kubwa la biashara, lakini huo ni mwanzo tu. Kuna habari za mtaani nyingi sana ukiona hivyo inawezekana ukafikiri kuwa utakuwa mtu uliyefanikiwa muda si mrefu sana. Hebu fikiria kwenye mpango wako na ujaribu kuangalia soko na maisha yako binafsi. Utahitajika kujua je mteja wako ni nani na uweze kuweka hiyo biashara […]

 

11 years ago

Mwananchi

Nini unachotakiwa kufanya unapokosa hamu ya kujamiiana

>Masanja na mke wake Saumu wameishi kwenye ndoa kwa miaka kumi sasa. Hapo awali, kila kitu kilikuwa sawa katika uhusiano wao, lakini katika miaka ya karibuni, Masanja amekuwa hana matamanio tena na Saumu; hana hamu kabisa ya tendo la ndoa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA NA MSUVA NI NDOA YENYE NEEMA


Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva 
Ukiangalia kwa undani unaweza kuhisi kuwa Yanga imeamua kufanya hivyo kama njia ya kuhakikisha Msuva hawaponyoki, hasa baada ya kuwepo kwa tetesi kwamba watani zao Simba wanamwinda mchezaji huyo usiku na mchana ili kumweka chini ya himaya yao.ILICHOKIFANYA Yanga sasa ni sifa wala si kitu kingine. Unajua kwa nini? Siku chache baada winga wake Simon Msuva kunyakua tuzo mbili za Mfungaji Bora na Mchezaji Bora kisha kuvuta mkwanja wa Sh11.4 milioni kwa ushindi...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...

 

10 years ago

GPL

NDOA YENYE MZOZO KILA SIKU, MKE ANA KASORO!

NAFURAHI sana kukutana nanyi wapenzi wasomaji wangu wa safu hii inayozungumzia maisha ya mapenzi kwa ujumla. Wiki iliyopita tulikuwa na mada iliyokuwa na utambulisho usemao; Ni afadhali ukimfumania mumeo na demu mzuri kuliko anayepaka wanja wa ‘sina bwana?’Leo tuko na mada mpya; NYUMBA YENYE MZOZO KILA SIKU, MKE ANA KASORO. Sina nia mbaya ya kuwashambulia wanawake, bali najaribu kukumbusha majukumu ya kila mmoja ndani...

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA YENYE MZOZO KILA SIKU MKE ANA KASORO - 2

Wiki iliyopita katika mada yetu tuliishia pale ambapo dada Mary alikuwa akizungumzia nafasi ya mke katika ndoa ambapo alisema ‘yeye kama yeye’ haamini kama anaweza kufanya jambo ambalo likamfanya mumewe achukue hatua ya kumpiga au kuzozana naye kwa vile anaijua nafasi yake katika ndoa.

Alisema: “Kujibizana na mume ndani ya nyumba ni kukosa heshima kwani mume ni kiongozi, huwezi kijibizana na kiongozi wako ndiyo maana Mungu alisema mke mwema hutoka kwake lakini hajasema popote kuhusu mume...

 

9 years ago

Michuzi

SUCCOS KUANZISHA MIRADI YENYE LENGO LA KULETA AMANI NCHINI

TAASISI ya Succos Dar es salaam Foundation imeanzisha miradi iliobeba ujumbe wa kudumisha amani, upendo na umoja nchini yenye lengo la kuwasaidia wahitaji mbalimbali ili kuondokana na umasikini nchini.

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Meneja Mradi Deogratius Paso amesema kuwa kupitia miradi hiyo itaendesha semina mbalimbali ambazo zitasaidia kudumisha amani na kupunguza umasikini nchini hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

 “Tumelenga mambo mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani