Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNFPA yakabidhi pikipiki kusaidia afya ya uzazi

SHIRIKA la Kimataifa linaloshughulika na Idadi ya Watu Dunia (UNFPA) limekabidhi Wizara ya Afya Zanzibar pikipiki tano zenye thamani ya Sh milioni 12 kwa ajili ya kusaidia huduma za afya ya uzazi, kwa akinamama, vijana na watoto.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya JSI  yakabidhi pikipiki 10 kwa maafisa wa afya Unguja na Pemba

 

mahamod Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (kushoto) akimkabidhi Pikipiki Afisa wa Afya wa Wilaya Nd. Khamis Daud Ali katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Maruhubi.

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar

Jumla ya Pikipiki 10 zenye thamani ya Sh.Million 42 zimegawiwa kwa Maafisa 10 wa Afya wa Wilaya za Unguja na Pemba.

Pikipiki hizo ni Msaada kutoka Shirika la Watu wa Marekani USAID kupitia Taasisi ya JSI wenye lengo la kusaidia Sekta ya Afya Zanzibar. 

 Akikabidhi Pikipiki hizo Naibu...

 

9 years ago

Mwananchi

Aliachana na kilimo akajikita kusaidia afya ya uzazi kwa vijana

Meshack Mollel si jina geni kwenye tasnia ya afya, hususan ya vijana katika masuala ya uzazi.

 

11 years ago

Dewji Blog

CCBRT, Vodacom Foundation na UNFPA kusaidia kampeni za kukuza uelewa wa jamii wa kupambana na Fistula

001 FISTULA

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.

Katika maadhimisho ya pili ya siku ya kutokomeza fistula ya uzazi duniani, mabalozi 100 wa kijamii wataendesha warsha za wazi kueneza ujumbe “Fistula...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA AMBULANCE TOKA (UNFPA)

Na RAMADHANI ALI /HABARI MAELEZO ZANZIBAR
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu (UNFPA) limekabidhi msaada wa magari manne ya Ambulance kwa Wizara ya Afya ya Zanzibar ambayo yatatumika katika Hospitali nne visiwani hapa.
Mwakilishi wa UNFPA Tanzania Dkt. Natalia Kanem alimkabidhi Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman magari hayo katika sherehe fupi zilizofanyika Wizarani Mnazi mmoja.
Dkt. Natalia alitaka magari hayo yatumike kwa uangalifu ili kufikia malengo ya...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi mabasi 6 kwa wakuu wa vyuo vya Afya kutoka katika maeneo mbalimbali .Mabasi hayo yatasaidia kuaondoa upotevu wa muda na adha ya usafiri waliyokuwa wakiipata wanafunzi,watumishi na wakufunzi wa vyuo hivyo kufika kwenye maeneo ya mafunzo kwa vitendo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akikata utepe kwenye basi moja...

 

5 years ago

Michuzi

UVIKASA YAKABIDHI PIKIPIKI 32 NA VIFAA KINGA KWA VIJANA.

Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.

Uongozi wa Umoja wa Vijana Karagwe Saccos (UVIKASA) kupitia Mlezi wake Mbunge wa Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent L. Bashungwa umekabidhi pikipiki 32, pamoja na Vifaa kinga dhidi ya Corona kwa vijana wanachama wa Saccos hiyo ili kuwaendeleza kiuchumi.

Tukio hilo limefanywa na Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti mapema Mei 07, 2020 katika Viwanja vya Ofisi za CCM Karagwe, na kushuhudiwa na Viongozi wa Chama na Serikali, ikiwa ni...

 

10 years ago

GPL

STAR TIMES YAKABIDHI PIKIPIKI KWA MSHINDI DROO YA PILI

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi funguo ya pikipiki mshindi wa droo ya pili ya mwezi wa Aprili, Bi Janemerry Suraphel, mkazi wa Dar es Salaam, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea. Makamu wa...

 

11 years ago

Michuzi

farm afrika yakabidhi pikipiki 10 kwa halmashauri za Babati na Mbulu


Farm Africa kupitia mradi wake Usimamizi Endelevu Mfumo wa Ikolojia wa Msitu wa Nou (SNFEMP) na kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekabidhi pikipiki 10 kwa halmashauri za wilaya za Mbulu na Babati.  Pikipiki hizo 10 aina ya Honda XL zina thamani ya jumla ya Shilingi Milioni Sabini na Tano Akipokea pikipiki hizo katika hafla fupi iliyofanyika ofisi ya Farm Africa, Dareda Babati, Ijumaa tarehe 14 Februari, mwakilishi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Babati, Bibi Zainabu Mnubi alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani