Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uongozi wa Diamond wazungumzia kauli ya Alikiba Instagram

diamond ema

Baada ya Alikiba kupost ujumbe katika Instagram akidai kuwepo na mambo yanayoendelea nyuma ya pazia kwenye muziki wake na wengi kutafsiri amelalamikia kukosa tuzo za Afrima, uongozi wa Diamond aliyeshinda tuzo tatu umezungumza.

diamond afrima

Akizungumza katika pindi cha XXL cha Clouds FM, mmoja kati ya mameneja wa Diamond, Babu Tale alisema walisikitishwa na ujumbe huo.

“Mimi naona asiyekubali kushindwa sio mshindani,” alisema. “Hata sisi tumeshawahi kuingia kwenye tuzo ambazo na yeye aliongea maneno...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Alikiba atolea ufafanuzi post ya ‘utata’ aliyoandika Instagram, na ampongeza Diamond kwa ushindi wa AFRIMA

12120276_163762000643678_1906855536_n

Alikiba ametolea ufafanuzi post yake ya Instagram iliyozua mjadala kwa mashabiki mbalimbali wa muziki ambao waliipokea kwa hisia tofauti.

12120276_163762000643678_1906855536_n

Siku ya Jumatatu Nov.16 Muimbaji huyo wa single mpya ‘Nagharamia’ aliandika, “Asanteni sana najua mmepiga kura sana lakini nilikuja kugundua baada ya kufuatilia kuwa kuna mambo yanaendelea ya watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu ila nawaomba fans msinielewe vibaya I will always be there for you #hapakazitu #kingkiba,” post ambayo baadae...

 

11 years ago

Bongo5

Alikiba atoa sababu ya kuunfollow watu wote kwenye Instagram

Baada ya Alikiba kuunfollow watu aliokuwa akiwafollow kwenye akaunti yake ya Instagram ameeleza sababu za kufanya hivyo. Kupitia mtandao huo, Alikiba ameandika: Thank you for taking time to jot down your opinion . It would be good if you understood my point of view as well . The social platform that keeps me in touch […]

 

10 years ago

GPL

ZARI UTUPIA NENO LA DIAMOND INSTAGRAM!

Mwanadada matata Zarina Hassan 'Zarithebosslady', ametupia neno la kumtakia kila kheri mpenzi wake Diamond Platnumz katika shoo yake ya leo usiku. Takriban dakika 45 zilizopita, Zari ametupia kwenye akaunti yake ya Intagram maneno yasemayo: Usiku huu nakutakia kila la kheri, nipo pamoja nawe kiroho ...mahabbat hayo, lol!

 

9 years ago

GPL

DIAMOND AFIKISHA MASHABIKI MIL. 1 INSTAGRAM

Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefikisha mashabiki milioni moja katika ukurasa wake wa Instagram. Staa huyo anayekimbiza na ngoma yake ya Nana aliyomshirikisha staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr. Flavour amekuwa Mtanzania wa kwanza kufikisha idadi ya mashabiki hao. Diamond akiwa na mwanaye Princess Tiffah. Tovuti hii inachukua fursa hii kumpongeza Diamond a.k.a 'Baba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kopa kufanya kolabo na Alikiba, Diamond

MALKIA wa mipasho nchini, Khadija Kopa, amesema katika kuchanganya ladha ya muziki kwa wapenzi wake, amepanga kufanya kolabo na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wakiwemo Alikiba na Diamond Platinumz....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Alikiba asishindane na Diamond, ajipange vizuri

EID Mubarak msomaji wa safu ya busati inayokujia siku yaleo. Baada ya salaam, mpendwa msomaji ni wazi ndani ya wiki iliyopita msanii Ali Kiba, alisema hana bifu na Naseeb Abdul’...

 

9 years ago

Bongo5

Akaunti ya Instagram ya Diamond Platnumz yawa ‘verified’

Mtandao maarufu wa kushare picha wa Instagram ume‘verify’ akaunti ya Diamond Platnumz na kumfanya aingie kwenye orodha ya wasanii wa Afrika akiwemo Davido, wenye akaunti zilizokuwa verified. Akaunti ya Diamond imekuwa verified na kuwekewa kitiki cha blue kuonesha kuwa ni akaunti halali baada ya kufikisha followers 1.1 million, na kumfanya awe ni msanii ambaye akaunti […]

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AFIKISHA FOLLOWERS LAKI TANO INSTAGRAM

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz'. Muonekano wa Account yake Instagram.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani