Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alikiba asishindane na Diamond, ajipange vizuri

EID Mubarak msomaji wa safu ya busati inayokujia siku yaleo. Baada ya salaam, mpendwa msomaji ni wazi ndani ya wiki iliyopita msanii Ali Kiba, alisema hana bifu na Naseeb Abdul’...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kopa kufanya kolabo na Alikiba, Diamond

MALKIA wa mipasho nchini, Khadija Kopa, amesema katika kuchanganya ladha ya muziki kwa wapenzi wake, amepanga kufanya kolabo na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wakiwemo Alikiba na Diamond Platinumz....

 

9 years ago

Bongo5

Uongozi wa Diamond wazungumzia kauli ya Alikiba Instagram

diamond ema

Baada ya Alikiba kupost ujumbe katika Instagram akidai kuwepo na mambo yanayoendelea nyuma ya pazia kwenye muziki wake na wengi kutafsiri amelalamikia kukosa tuzo za Afrima, uongozi wa Diamond aliyeshinda tuzo tatu umezungumza.

diamond afrima

Akizungumza katika pindi cha XXL cha Clouds FM, mmoja kati ya mameneja wa Diamond, Babu Tale alisema walisikitishwa na ujumbe huo.

“Mimi naona asiyekubali kushindwa sio mshindani,” alisema. “Hata sisi tumeshawahi kuingia kwenye tuzo ambazo na yeye aliongea maneno...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Alikiba: Diamond hawezi kuziba nafasi yangu

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema msanii mwenzake wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ hawezi kuziba nafasi yake. Kauli hiyo ya Alikiba imekuja baada ya...

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz

Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia. Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba amesema upo uwezekano wa kufanya kazi ya pamoja kama kukitokea mabadiliko. “Mawazo ya kolabo yapo, mawazo unapata mengi tu, hiyo nimeshaisikia vilevile, na wewe sio […]

 

11 years ago

Bongo5

Audio: G-Lover azungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba

Moja ya mdau mkubwa wa muziki nchini na mmiliki wa G Records, studio iliyomtoa Alikiba, Guru Ramadhan aka DJ G-Lover, amezungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba aliyewahi kuwa chini yake. Akizungumza na Vijimambo, Lover ambaye akiwa meneja wa Alikiba walitoa album mbili, amewaka bayana uwezo wa kila msanii na jinsi walivyojikuta kwenye biashara. […]

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba kuhusu collabo na Diamond: Nikiwa na wimbo unaomfaa ntamshirikisha

Alikiba amedai anaweza kumshirikisha Diamond kama tu akipata wimbo unaomfaa msanii huyo. “Ngoja nikwambie ukweli, sidhani kama ninaweza kuja kufanya kolabo na Diamond, ila nikipata wimbo ambao nadhani kwamba anastahili kuwapo, kiukweli nitamshirikisha lakini kama hastahili haitawezekana,” Alikiba aliliambia gazeti hilo la kila siku. Kwa upande mwingine akijibu swali la kama ana mpango wa kuja […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani