Upinzani wataka Pinda afukuzwe
KUTOKANA na kashfa za ufisadi zinazozidi kuiandama Serikali ya Rais Jakaya Kikwete huku kukionekana kuwepo kwa danadana katika kuchukua hatua dhidi ya wahusika, Kambi ya Upinzani Bungeni imemtaka Rais kumfukuza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Wakulima wa chai Kagera wataka mwekezaji afukuzwe
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Upinzani wataka sheria ya uhuru wa habari
KAMBI Rasmi ya Upinzani, imeitaka Serikali kuharakisha mchakato wa kupata sheria mpya ya uhuru wa vyombo vya habari ili kufuta sheria kandamizi zinazominya uhuru wa habari. Kauli hiyo ilitolewa jana...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Mawakili kesi ya Pinda wataka itupwe
UPANDE wa Jamhuri umeiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Ombi hilo liliwasilishwa...
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Maswa wataka Pinda amtimue mkurugenzi
WANANCHI wilayani Maswa, Simiyu, wamemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kumwondoa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Hilda Lauwo, kwa madai hana uwezo wa kuongoza halmashauri hiyo. Wananchi wamefikia...
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Benitez ahisi vyombo vya habari kumfanyia kampeni ili afukuzwe kazi
Rafa Benitez
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez amesema anahisi kuna kampeni zinafanywa na vyombo vya habari kuhusu yeye, klabu na rais wa klabu, Florentino Perez kuhusu tuhuma mbalimbali zinazosemwa zinazoweza pelekea afukuzwe kazi.
Akizungumza na vyombo vya habari, Benitez alisema kuwa kuna habari zimekuwa zikitolewa na vyombo vya habari kuhusu uendeshaji wake wa klabu hiyo jambo ambalo sio sahihi.
“Kuna kampeni kati ya mimi, kuhusu klabu na Perez na kila...
10 years ago
Vijimambo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

