Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UPUNGUFU WA MADINI YA MANGANIZI (MAGNESIUM) NA MADHARA YAKE

Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa karibu asilimia 80 ya watu duniani wanakabiliwa na upungufu wa madini aina ya manganizi (Magnesium) na ni chanzo cha matatizo mengi ya kiafya mwilini. Upungufu wa madini haya una athari nyingi mwilini ikiwemo kudhoofisha kinga ya mwili, mfumo wa usagaji chakula, shinikizo la damu, viungo vya mwili na mambo mengine. Kuna mambo mengi yanachangia tatizo hili la upungufu wa madini haya, miongoni mwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maambukizi ya chlamydia na madhara yake

Magonjwa ya zinaa yapo. mengi yanaambukizwa kwa urahisi kabisa kwa kufanya tendo la ngono.

 

10 years ago

BBCSwahili

Picha binafsi na madhara yake

Wafanyakazi wa kitengo cha zimamoto nchini Urusi,Ilya Bykov na Rostislav Krylov waliamua kuselfika mbele ya jengo linaloteketea.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tamu, lakini unajua Madhara yake?

Wanaharakati wameanza juhudi za kutaka sekta ya chakula na viywaji kupunguza kiwango cha sukari katika bidhaa zao.

 

9 years ago

Mwananchi

PIRAMIDI YA AFYA: Kurefusha uume na madhara yake kiafya

Leo tutaona njia maarufu ambazo zipo katika matangazo mbalimbali ikiwamo magazeti, mabango ya matabibu wa kienyeji, mitandaoni pamoja na zile zilizoshindwa kukidhi vigezo vya kutumika na kuingizwa katika miongozo ya matibabu ya Shirika la Afya Duniani (WHO).

 

11 years ago

GPL

KUPITISHA RASIMU YA KATIBA BILA UKAWA KUNA MADHARA YAKE

Mwandishi Eric Shigongo WIKI ijayo siku kama ya leo Jumanne, Bunge Maalum la Katiba linatarajiwa kuketi mjini Dodoma kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba kukiwa na wasiwasi kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hawataingia kikaoni. Ninachosema ni kwamba Ukawa kukataa kurejea katika vikao vya Bunge hilo kwa kushikilia msimamo wa kutaka ijadiliwe Rasimu ya Katiba ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Sinde...

 

11 years ago

Mwananchi

Ongezeko la ajali za barabarani, madhara yake kiuchumi na haki ya kudai fidia

Ajali za barabarani zimekuwa ni janga kubwa kwa taifa letu. Ajali hizi kwa muda wa hivi karibuni zimeongezeka sana na kusababisha watu kufariki dunia, kupotelewa mali, kupata majeraha, kupata ulemavu wa kudumu na watu wengi wamejikuta maskini kwa sababu ya ajali za barabarani. Wengine wanafia njiani wakihangaika kupata haki zao.

 

5 years ago

Michuzi

TAEC:MIONZI INA FAIDA KUBWA NA SIYO MADHARA PEKE YAKE



Profesa Lazaro Busagala,Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu ya nchini (TAEC) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini Arusha.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo ya siku tano kutoka Serengeti Breweries mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini Arusha.

Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO), LAELEZEA MAFANIKIO YA MIRADI YAKE MBALIMBALI

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),  Zena Kongoi.Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala wa STAMICO, Deusdedith Magala, akizungumza na wanahabari.
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),  Zena Kongoi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na shirika hilo katika miradi mbalimbali....

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yamlipa mchimbaji mdogo zaidi ya Bilioni 7.74 kwa madini yake ya Tanzanite


Mchimbaji mdogo wa madini, Saniniu Kurian Laizer, akimkabidhi waziri wa madini Dotto Biteko mawe ya Tanzanite yenye thamani ya zaidi ya  Shilingi Bilioni 7.74 katika hafla fupi iliyofanyika Mirerani.Pichani kati ni Naibu Waziri wa Madini  Mhe.Stansalus Nyongo
Katibu Mkuu wizara ya Madini Prof Simon Msanjila akizungumza wakati wa hafla ya kupokea madini kutoka kwa mchimbaji mdogo wa Mirerani.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mughwira (wa Pili Kushoto), Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Zephania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani