Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upungufu wa nakala wachelewesha Rasimu

>Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho,  jana alililazimika kuahirisha kwa muda uwasilishaji wa Rasimu ya Kanuni za Uendeshaji wa Bunge hilo, kufuatia  kukosekana kwa nakala za kutosha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uchunguzi wachelewesha kesi Zanzibar

Kesi ya mauaji dhidi ya raia wawili wa Ufaransa imekwama kuanza kusikilizwa kwa miezi minane sasa, baada ya upande wa mashtaka kuendelea na madai ya kutokamilika kwa ushahidi wa kesi hiyo.

 

10 years ago

GPL

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo hili kwa kawaida huwapata watu wenye umri mkubwa hasa kuanzia umri wa miaka sitini na wagonjwa wenye magonjwa sugu kama shinikizo la damu, kisukari, kansa, kifua kikuu, ukimwi na wale wanaotumia madawa kwa muda mrefu. Mfano baadhi ya dawa za shinikizo la damu, moyo, kansa, vidonda vya tumbo na nyingine nyingi ambazo hazijafanyiwa uchunguzi wa kisayansi hasa baadhi ya dawa za asili huweza kukuathiri kabisa badala ya...

 

10 years ago

Habarileo

TACAIDS: Hakuna upungufu wa ARVs

TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), imesema serikali imejipanga vyema ili kuhakikisha hakuna upungufu wa dawa za kufubaza maambukizi ya Ukimwi (ARVs) ili kusaidia wanaotumia dawa hizo kutokukatisha dozi.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Sekta ya kilimo ina upungufu’

Mkurugenzi Mkuu wa Mpango wa kuzalisha nafaka kwa wingi (Nafaka Staples Values Chain Activity), Tom Carr amesema wakulima wa Tanzania wana malalamiko mengi yanayohitaji kutatuliwa haraka.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakumbwa na upungufu mkubwa wa chakula

Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, wanasema wananchi katika halmashauri hiyo, wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula uliosababishwa na mazao kukauka kwa jua yakiwa bado shambani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upungufu wa walimu tatizo Bunda

IDARA ya Elimu katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, inakabiliwa na changamoto  mbalimbali ikiwamo upungufu wa walimu, migogoro ya mipaka ya maeneo ya shule, utoro wa wanafunzi na kitengo cha...

 

11 years ago

GPL

UPUNGUFU WA DAMU KWA MJAMZITO -2

BAADA ya kueleza madhara ya upungufu wa damu kwa wajawazito kwa kina wiki iliyopita, leo tuangalie madhara kwa mimba na mtoto atakayezaliwa. Madhara ni pamoja na mtoto kuzaliwa njiti, mtoto kuzaliwa na uzito mdogo, mtoto kuwa na score ndogo kitaalamu huitwa poor Apgar score, mtoto kuzaliwa akiwa amechoka yaani fetal distress na hutokea upungufu wa damu kwa mtoto. Watoto wanaozaliwa wakiwa na upungufu wa damu hukua kwa tabu, huwa...

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA VYOO

 Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mgama wakati alipowatembelea na kula pamoja chakula cha mchana.  Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala akizungumza na mwalimu mkuu wa shule hiyo Simeone Lihuluku.   Diwani wa kata ya Mgama, Denis Lupala akimpakulia chakula mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mgama wakati alipowatembelea na kula pamoja chakula cha mchana baadhi ya wanafunzi shule ya sekondari ya Mgama wakiwa katika foleni ya...

 

9 years ago

Habarileo

Bahi wakabiliwa na upungufu wa chakula

WILAYA wa Bahi mkoani Dodoma inakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula hali inayoleta wasiwasi wa kutokea vifo iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani