Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USHIRIKIANA WATAJWA

Stori: Haruni Sanchawa  na Imelda  Mtema
KIFO cha ghafla cha mtoto Suleiman Rajabu (17) aliyekuwa na tatizo la mguu mmoja kuvimba tangu utoto kilichotokea Desemba 6, 2013 nyumbani kwao, Kitunda-Kivule ‘Bombambili’, Dar kimeibua mengi, lakini zito ni ushirikina kuhusishwa, Uwazi limeambiwa. Suleiman ilikuwa apelekwe India kwa matibabu, Desemba 8, 2013. Maandalizi yote ya safari yalishakamilika.
Baadhi ya ndugu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWISHO WA DUNIA WATAJWA

Stori: Mwandishi Wetu na Mitandao
WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo...

 

11 years ago

GPL

Wanaoivuruga Simba SC watajwa

Na John Joseph
HALI ya mambo ndani ya Klabu ya Simba inazidi kuwa mbaya baada ya kubainika kuwa, tatizo kubwa ni makundi mawili ndani ya uongozi pamoja na ukali wa kupitiliza wa Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic.
Simba ambayo inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, imezidiwa pointi sita na Yanga ambayo inaongoza ligi, huku Simba ikiwa mbele kwa michezo miwili, lakini ikiwa imepata pointi mbili kati ya 12 kwenye...

 

11 years ago

GPL

Adui 5 wa Maximo watajwa

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo kutoka Brazil. Na Ezekiel Kitula
ADUI watano ambao watampa shida kubwa Kocha wa Yanga, Marcio Maximo kutoka Brazil, wametajwa na wengine wamo ndani ya Yanga na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Wachambuzi watatu maarufu wa soka nchini, Edibily Lunyamila, Bakari Malima na Saleh Ally, wameeleza kuwa, adui hao kwa Maximo ni viwanja vibovu, waamuzi wabovu, hujuma, uzalendo mikoani na presha ya...

 

11 years ago

Habarileo

Watuhumiwa mabomu Arusha watajwa

WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, majina yao yamewekwa hadharani jana na leo wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayowakabili. Watuhumiwa hao ni pamoja wanaodaiwa kuhusika katika ulipuaji wa bomu katika viwanja vya Soweto, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika Juni 15, 2013.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa watajwa kikwazo CHF

BAADHI ya wanasiasa mkoani Rukwa, wametajwa kuwa sehemu ya kikwazo cha kutofanikiwa kwa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa kile kilichodaiwa kuwakataza wananchi kuchangia gharama. Mratibu wa CHF Mkoa,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Stars watakaoivaa Swaziland watajwa

IMG_7000

 

Na Mwandishi wetu

Kocha mkuu wa Taifa stars Mart Nooij (pichani) ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya mechi ya kalenda ya shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu FIFA dhidi ya Swaziland itakayochezwa Novemba 16 mwaka huu jijini Mbabane.

Akizungumza jijini Dar es salaam Nooij amesema kikosi hicho kitaingia kambini novemba 10 mwaka huu na kitafanya mazoezi kwenye uwanja wa Gymkhana. 

Amesema kuwa Novemba 11 mwaka huu Taifa Stars itaondoka kwenda afrika kusini ambapo itaweka...

 

11 years ago

Michuzi

WACHEZAJI MABORESHO STARS WATAJWA

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 16 waliochaguliwa katika maboresho ya timu ya Taifa Taifa Stars kwenye hoteli ya Hill View jijini Mbeya.
Wachezaji hao ni kipa Benedicto Tinoko Simwanda (Temeke), mabeki wa kati; Emma Namwondo Simwanda (Temeke) na Joram Nason Mgeveje (Iringa). Walinzi wa pembeni ni Omari Ally Kindamba (Temeke), Edward Peter Mayunga (Kaskazini Pemba) na Shiraz Abdallah Sozigwa (Ilala).
Viungo ni Yusuf Suleiman Mlipili (Temeke),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliokufa mafuriko Dar watajwa

POLISI jijini Dar es Salaam imewataja watu 10 waliokufa kutokana na mafuruko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kashfa ya ESCROW vigogo watajwa TZ

Kamati ya bunge ya hesabu za serikali Tanzania imebainisha majina ya wahusika wa kashfa na IPTL ,waziri mkuu nae atajwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani