Wanaoivuruga Simba SC watajwa

Na John Joseph HALI ya mambo ndani ya Klabu ya Simba inazidi kuwa mbaya baada ya kubainika kuwa, tatizo kubwa ni makundi mawili ndani ya uongozi pamoja na ukali wa kupitiliza wa Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic. Simba ambayo inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, imezidiwa pointi sita na Yanga ambayo inaongoza ligi, huku Simba ikiwa mbele kwa michezo miwili, lakini ikiwa imepata pointi mbili kati ya 12 kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog19 Sep
Baadhi ya vigogo Simba, Yanga watajwa Kuihujumu Taifa Stars
Kikosi cha Taifa stars.
Na Mwandishi wetu
SIRI za kushindwa kwa timu ya soka ya taifa kufuzu katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).
Siri hiyo ya kukwama kwa timu ya taifa kwenye michuano ya (AFCON), inadaiwa kutokana na hujuma zilizofanywa na kundi la watu wachache kwa lengo la kumwonesha Rais wa TFF, Jamal Malinzi hawezi kuongoza shirikisho hilo na kuipa mafanikio Stars.
Wahujumu hao wa soka nchini, wanadaiwa kutoka katika vilabu vikubwa vya soka nchini ambao kwa sasa majina yao...
11 years ago
GPL
USHIRIKIANA WATAJWA
11 years ago
GPL
Adui 5 wa Maximo watajwa
11 years ago
GPL
MWISHO WA DUNIA WATAJWA
11 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wanasiasa watajwa kikwazo CHF
BAADHI ya wanasiasa mkoani Rukwa, wametajwa kuwa sehemu ya kikwazo cha kutofanikiwa kwa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa kile kilichodaiwa kuwakataza wananchi kuchangia gharama. Mratibu wa CHF Mkoa,...
11 years ago
Habarileo01 Aug
Watuhumiwa mabomu Arusha watajwa
WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, majina yao yamewekwa hadharani jana na leo wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayowakabili. Watuhumiwa hao ni pamoja wanaodaiwa kuhusika katika ulipuaji wa bomu katika viwanja vya Soweto, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika Juni 15, 2013.
10 years ago
Habarileo26 Sep
Watanzania wanne waliokufa watajwa
WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imethibitisha kutokea kwa vifo vya mahujaji Watanzania wanne, waliokufa wakati wakishiriki ibada ya Hijja, iliyofanyika Makka, Saudi Arabia juzi.
11 years ago
Dewji Blog07 Nov
Stars watakaoivaa Swaziland watajwa
Na Mwandishi wetu
Kocha mkuu wa Taifa stars Mart Nooij (pichani) ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya mechi ya kalenda ya shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu FIFA dhidi ya Swaziland itakayochezwa Novemba 16 mwaka huu jijini Mbabane.
Akizungumza jijini Dar es salaam Nooij amesema kikosi hicho kitaingia kambini novemba 10 mwaka huu na kitafanya mazoezi kwenye uwanja wa Gymkhana.
Amesema kuwa Novemba 11 mwaka huu Taifa Stars itaondoka kwenda afrika kusini ambapo itaweka...
11 years ago
Michuzi
WACHEZAJI MABORESHO STARS WATAJWA

Wachezaji hao ni kipa Benedicto Tinoko Simwanda (Temeke), mabeki wa kati; Emma Namwondo Simwanda (Temeke) na Joram Nason Mgeveje (Iringa). Walinzi wa pembeni ni Omari Ally Kindamba (Temeke), Edward Peter Mayunga (Kaskazini Pemba) na Shiraz Abdallah Sozigwa (Ilala).
Viungo ni Yusuf Suleiman Mlipili (Temeke),...