Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushirikiano huu wa ‘Ukawa’ uwe endelevu

Bila shaka kila mwananchi anayeitakia mema nchi yetu amevutiwa na habari zilizochapishwa katika gazeti hili jana kwamba vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimeamua kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais, ubunge na udiwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mradi wa gesi majumbani uwe endelevu

Tangu ilipogundulika hazina kubwa ya gesi nchini miaka michache iliyopita, kumekuwapo na kauli nyingi kuhusu manufaa ambayo wananchi mmoja mmoja au nchi wataweza kupata kutokana na rasilimali hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Moyo wa Watanzania kwa Rais uwe endelevu

Watanzania jana waliadhimisha miaka 54 ya Uhuru kwa kufanya usafi wa mazingira kwa lengo la kupambana na ugonjwa wa kipindupindu. Kwa mujibu wa takwimu  za  Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwenda kwa Shirika la Afya  Duniani (WHO), kipindupindu kwa mwaka huu kimekuwa tishio nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Wazee Dodoma wataka usafi uwe endelevu

WAZEE wa Mkoa wa Dodoma wametaka usafi unaofanyika kwenye maeneo mbalimbali mkoani humo uwe endelevu na si kwa wakati wa ugeni tu kama ilivyo sasa ambapo Bunge Maalum la Mabadiliko ya Katiba linapoendelea kuketi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mchakato wa kuimulika Mamlaka ya Bandari uwe endelevu

Mwezi Agosti mwaka 2012, aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alibadili ghafla mwelekeo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuwasimamisha viongozi wote waandamizi.

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi huu wa kubomoa ghorofa uwe fundisho

Waswahili husema mzaha mzaha, kidonda hutumbuka usaha. Kauli hii inaweza kufananishwa na kesi na hatimaye hukumu ambayo imetolewa juzi na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam dhidi ya maofisa wawili waandamizi wa wakala wa serikali.

 

9 years ago

Raia Mwema

KWA CCM, uchaguzi huu uwe fundisho la mwisho — 1

USHINDI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 unabaki na utaendelea kub

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

10 years ago

Bongo5

Ushirikiano huu wa Afrika Mashariki ndio njia pekee ya kula sahani moja na Wanaijeria!

Kwa mtazamo wetu, Afrika Mashariki haijawahi kuwa na ushirikiano wa karibu kama tunaouona sasa. Hebu tuangalie kwa ufupi.. Turudi nyuma hadi pale Victoria Kimani alipowashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz kufanya wimbo Prokoto. Shaa alichaguliwa na kituo cha Citizen TV kuwa host wa show yao ya Sakata Mashariki na kiukweli watazamaji wamempokeza vizuri. Shaa huyo […]

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAJIPANGA KUTOA USHIRIKIANO KWA WAONGOZA UTALII WAKATI HUU WA CORONA

Na Woinde Shizza,Arusha

Jeshi la polisi Mkoa wa Arusha,limejipanga kutoa ushirikiano kwa waongoza utalii mkoani hapa katika kipindi hiki ambacho wanatarajia kuanza kupokea watalii kwa vingi baada ya ugonjwa wa Corona kupungua kwa kiasi kikubwa hapa nchini.

Akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku sita ya wadau wa utalii yaliyoandaliwa na chama cha waongoza utalii Tanzania (TSG)jijini hapa,Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha,Jonathan Shanna alisema kuwa jeshi hilo lipo imara kuimarisha ulinzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani