Ushoga wakithiri Iringa, 1500 wajitangaza, vyuo vyaongoza
Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono pamoja na tabia ya ushoga mkoani Iringa kunadaiwa kusababishwa na baadhi ya vijana wa vyuo vikuu wanafika mkoani humo kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu, huku miongoni mwao wakitaka starehe zilizo nje ya uwezo wao.
Tamaa ya kumiliki vitu vya thamani – ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwahadaa baadhi ya wasomi hao wa vyuo vikuu, jambo linalosababisha wengi wao kuangukia katika wimbi la biashara ya ngono na ushoga na kuufanya ongezeko la maambukzi...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV28 Dec
Zaidi ya watu 1500 wajitangaza kuwa mashoga Iringa
Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono pamoja na tabia ya ushoga mkoani Iringa kunadaiwa kusababishwa na baadhi ya vijana wa vyuo vikuu wanafika mkoani humo kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu, huku miongoni mwao wakitaka starehe zilizo nje ya uwezo wao.
Tamaa ya kumiliki vitu vya thamani – ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwahadaa baadhi ya wasomi hao wa vyuo vikuu, jambo linalosababisha wengi wao kuangukia katika wimbi la biashara ya ngono na ushoga na kuufanya ongezeko la maambukzi...
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Wakunga na waganga wa tiba mbadala wajitangaza kuacha kabisa kazi hizo
Bi Zaibabu Juma mkazi wa Kijiji cha Iguguno.
Bi Amina Selemani wote ni wakazi wa Kijiji cha Tumuli waliotangaza rasmi kuachana na huduma za kuwasaidia wanawake wajawazito kutokana na uzee pamoja na maradhi ya kifua.
Mganga wa tiba mbadala, Bwana Gervasi Dule, mkazi wa Kijiji cha Senene.
Wakunga wa jadi,Bi Fatuma Omari (wa kwanza kutoka kulia) na Bi Tatu Hassani(wa pili kutoka kulia) waliotangaza kuacha kutoa huduma za ukunga wa jadi kwa akina mama wajawazito kutokana na umri kuwa mkubwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YQnArqwUwRo/VYqcDdqlEPI/AAAAAAAHjWw/Liy8gOV3OfI/s72-c/001.DR.jpg)
NACTE YAVIFUTIA USAJILI VYUO VITATU (3) NA KUVISHUSHA HADHI VYUO KUMI NA SITA (16)
Taassi/vyuo vilivyoshushwa hadhi baada ya kushindwa kutiza mashart ni pamoja na Sura Technologies – Dar es Salaam, Institute of...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
NACTE YAVIFUTIA USAJILI VYUO VITATU (3) NA KUVISHUSHA HADHI VYUO KUMI NA SITA (16)
11 years ago
BBCSwahili12 Jun
Ujangili wakithiri Kenya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0n6n8FizQD2LWX87LjmhOC0d*dkfc34E4StjMCD0GRHrUuHFQzpBMTlbuF-K1UJfvVBmaNVcml-6a0TMGv7wl4C/dnkisumulaunch0512c.jpg?width=640)
MGOMO WA MADAKTARI KENYA WAKITHIRI
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Utoro wakithiri shule za Dodoma
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Utovu wa usalama wakithiri S.Kusini
10 years ago
Habarileo30 Aug
Watoto wakithiri ngono, hawatumii kondom
SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono, imebainisha haja ya elimu ya afya ya uzazi kukabili hali ya sasa ya tabia hatarishi zinazowakabili vijana wadogo.